Mhhh, na Wachagga kumbe......

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
Nongovernmental organization (MILDMAY) officials providing treatment to wananchi who have been affected by jigers in Uru ward in Moshi rural at the weekend.

Source: The citizen
 
Funza hawajali kabila - kama mazingira kwao ni sahihi (vumbi jingi, watu kukosa viatu,nk) ni shida kuwakwepa.
 
Funza hawajali kabila - kama mazingira kwao ni sahihi (vumbi jingi, watu kukosa viatu,nk) ni shida kuwakwepa.

Kuna makabila ambayo vumbi majumbani na bila viatu miguuni ni historia particularly wachaga, wamepiga hatua! Hii ni ajabu. anyway, ndio tunajifunza kuwa wachaga wote hawana hali nzuri kuna maskini kama kwetu
 
HIGHLY DEVELOPED TRIBE IN TZ! ptuuu!
 
Funza hawajali kabila - kama mazingira kwao ni sahihi (vumbi jingi, watu kukosa viatu,nk) ni shida kuwakwepa.
mimi ninavyosikiaga wanapasema huko nilitegemea haya matatizo waliyaacha decade kama nne zilizopita!

 
Huyu dada si ndiye yule shemeji yetu kwa kule Uganda?

 
Ebwanaeee kumbe ndio maana wachaga wengi wanatembea kwa mikogo kumbe jiggers wamefanya mambo yaooo!!!!
 
Urus are the lowest caste of the Chaggas......:becky::becky::becky:

Nadhani wewe ni mjinga (ignorant)! Maana umeonyesha kutokujua ukweli na pili umetumia neno 'caste' ambalo linaweza kutafisiriwa kwamba unao msimamo tayari kwamba wapo upper and low caste- tulishaondoka huko kujiona (feeling like you are ...) na sasa tuko kwenye hali halisi. Ndio maana tunapaswa kufanya kila kitu kwa kujali kwamba ndani ya jamii umasikini au utajiri hautokani na kabila wala na watu wa namna fulani.

Kama ningepoteza muda tu nikaanza kukutajia watu wa nchi ya Uru waliko na wanafanya nini, waliokufundisha (mind you hata kama umesoma nje ya bongo, utakuwa umekutana nao tu!) basi ningekuvua nguo, sio kwenye elimu, sio biashara,sio kwenye misikiti, sio makanisani, sio kwenye ufundi saa, sio kwenye kubeba na kuuza ndizi, wako kila mahali na ni wajasirimali kwelikweli! Nawajua wanaojisikia bora lakini wanaishi kwa kuomba.

Funza ni kama mbu Dar es Salaam; bahati mbaya wapo baadhi yetu ambao hawawezi kuwathibiti! Ni janga ambalo hatupaswi kuwanyooshea kina fulani ni letu wote!
 

:becky::becky::becky::becky::becky::becky: Usimwage OMO mdomoni.......mimi MGWENO
 
aiseeeeeeeeee babaangu hapa rombo sijui watakuja lini??? Kila siku natembea kama sharobaro kumbe nimeadhirika na funza

ngoja nikapate mbege nitarudi kuchangia
 
Kaka asante kwa kunipa vocabulary.....kumbe jigers ni funza....? Nimekumbuka mbali hawa wadudu walinikula nikiwa mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…