Elections 2010 Mhhh kweli kikwete karudi mwanza!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
ktk hali ya kutapatapa ccm imeamua kurudia kampeni ktk sehemu zinazoonekana ku support upinzani. Tatizo ni kuwa mwaka huu haswa wa vijijini wamechoka na ccm!tujiulize mimi na wewe tutapata wapi sh 40 000 za ku renew driving license,kutoka ada ya zamani sh 10 000 Motor vehicle license mwaka 2000 ilikua sh 20 000 leo sh 150 000 mpaka laki 3. licha ya bei ya dizeli.etc yapo mengi sana ya kuumiza kichwa
 
Mi si niliwaambia jana..Anarudi Mwanza..hahaaa JK beki hazikabi mwaka huu mipira inagonga besela kila dakika
 
Anapelekwa pelekwa tu kama gari bovu hata washauri wake wamepoteza dira wanafuata upepo wa Slaa kesho aende tena Mugumu nasikia nyomi ya huko ni kama Mwanza.
 
Huko mwanza sijui anaenda kuahidi nini tena! Au atarudia ahadi alizozitoa majuzi? Au ndo anakwenda agenda zake za kulalamikia udini na ukabila!?
 
Aaanze upya maana ni kama watanzania hatuja masikia wengi tunaenda kuangalia wasanii maana hatujawahi waona live
 
Back
Top Bottom