Kwani hawezi kujilipia jamani acheni mambo hayo.Who told you Zitto anajilipa mwenyewe?kwa taarifa yako halipi kwa fedha zake za mfukoni..
You have personal problems with Zitto, tatizo ni Eur22000 au ni nini?Sikujua kuwa Mh. Kabwe naye yuko njiani kupata Phd!atapata tu.Hivyo vyuo viwili ni private
,vilianzishwa mwaka 2000 na watu wawili named after the colleges.Sio full fledged University,
Ujerumani kinaitwa Hochscule.Vyuo hivi vinatoa combine masters ya business and law,hivyo
vinashirikiana.
Kama Mh atakuwa amemaliza Masters huko,it means alikuwa full time kwa mwaka mmoja,
sijui wananchi wa kigoma kaskazini wanajua mbunge wao alikuwa full time huko,au akina sam six wanaweza kuruhu serving MP kusoma ujerumani wakati also yuko kwenye kamati
nyeti za bunge.Ukiangalia hii masters ni mwaka mmoja full time.
ada ya kusoma (tuition) ni EURO 22000/= kabla ya living costs!Ukiconvert kwa hela ya madafu ni rate ya Tshs 1800 kwa euro ni Tshs 39,600,000/= karibu millioni Tshs 40millioni.
Ndiyo huyu wabongo ndio tunamwona ni anti -ufisadi,you are jocking!
CHUKI BINAFSI imemfanye ahitimishe vibaya.You have personal problems with Zitto, tatizo ni Eur22000 au ni nini?
Do you know who pays that fee?
Did you ask Zitto?
You did an analysis but you had put a wrong conclusion which doesn't match your analysis!!!!!
Luteni cool down,hii ni free media sio kama uhuru na mzalendo.hapa tunatoa maoni ,hakuna gagging.Jilulize haya:
1.huyu ni serving MP,anaruka kusoma ulaya kwa chuo private ,kinatoza millioni 40 kwa mwaka.Bila shaka Kigoma kaskazini kuna kids wanakaa chini darasani!Kama kuna watu wamemponsor (sio govt) unaquestion independence yake,yeye kama mtu nyeti katika kamati ya bunge.je hawa wanaomsponsor ni lobbyists?
2.je bunge linamruhusu mtu analipwa fortune kuwasilisha wananchi wa kigoma,huku akisoma ulaya at the same time?
naona hii ni Tanzania tu,hata wapopo hawafanyi haya mambo

Asante Mkuu, naelewa yote hayo kwamba anything baada ya bachelors degree ni postgraduate study (ukiondoa short courses). Swali langu ni hili, hiyo ya kwake ni nini? (maana amesema tu second postgraduate). Umeziorodhesha hapo, sasa yeye anasoma postgraduate study ipi?
Sikujua kuwa Mh. Kabwe naye yuko njiani kupata Phd!atapata tu.Hivyo vyuo viwili ni private
,vilianzishwa mwaka 2000 na watu wawili named after the colleges.Sio full fledged University,
Ujerumani kinaitwa Hochscule.Vyuo hivi vinatoa combine masters ya business and law,hivyo
vinashirikiana.
Kama Mh atakuwa amemaliza Masters huko,it means alikuwa full time kwa mwaka mmoja,
sijui wananchi wa kigoma kaskazini wanajua mbunge wao alikuwa full time huko,au akina sam six wanaweza kuruhu serving MP kusoma ujerumani wakati also yuko kwenye kamati
nyeti za bunge.Ukiangalia hii masters ni mwaka mmoja full time.
ada ya kusoma (tuition) ni EURO 22000/= kabla ya living costs!Ukiconvert kwa hela ya madafu ni rate ya Tshs 1800 kwa euro ni Tshs 39,600,000/= karibu millioni Tshs 40millioni.
Ndiyo huyu wabongo ndio tunamwona ni anti -ufisadi,you are jocking!
Kwa mujibu wa uchambuzi huo, Dk. Slaa ameshika nafasi ya kwanza kwa kujizolea jumla ya ushiriki 268, maswali ya msingi (33), maswali ya nyongeza (106) na michango (129) bungeni.
Wa pili, ni Msindai, mwenye jumla ya ushiriki 256, maswali ya msingi (5, maswali ya nyongeza (109) na michango (89), huku Lubeleje akishika nafasi ya tatu kwa kupata jumla ushiriki 225, maswali ya msingi (46), maswali ya nyongeza (9 na michango bungeni (81).
Mimi naona watu wengi ni wabinafsi na hawapendi kuona mtu anajiendeleza pengine kupata mafanikio.
Zitto Kabwe kusoma kwa Tshs 40m kwanini iwe issue, mbona wengine wanasoma kwa hela za baba zao au sponsorship. kumwambia eti anapigia kelele ufisadi halafu ansoma kwa 40m, ni ufinyu wa mawazo na kumtaka abaki na elimu aliyonayo na asipanue mawazo na mtazamo katika kuchambua mambo mbalimbali.
angekuwa hajasoma ingekuwa ooo Zitto uelewa wake mdogo si atafute shule, sasa yeye hajaridhika na digrii yake ya kwanza anatak ya pili tayari members washatia neno,
Jamani acheni hizo, wengine wenu ndo rais JK akiwa marekani alisema manaendesha magari mazuri huko mkifa mkija kuzukwa inakuwa haiwezekani hapo ndo kwao azike maana nnyumba hamna kwa wazazi wenu ni vibanda.
Jamani kuweni na mawazo pevu.
- Sasa hapa ndio kuchanganyana, ina maana kuuuliza maswali mengi bungeni ndio sifa za kuwa mbunge safi kwa wananchi wa jimbo lilomchagua? Dr. Slaa tunaheshimu kazi yake ya kufichua ufisadi, lakini haya ya kuuliza maswali haijakaa sawa! Wananchi hawakumchagua mbunge yoyote kwenda kuuliza maswali tu!
Respect.
FMEs!
Tuoneshe hayo majungu.Hi thread ni ya majungu