Sikujua kuwa Mh. Kabwe naye yuko njiani kupata Phd!atapata tu.Hivyo vyuo viwili ni private
,vilianzishwa mwaka 2000 na watu wawili named after the colleges.Sio full fledged University,
Ujerumani kinaitwa Hochscule.Vyuo hivi vinatoa combine masters ya business and law,hivyo
vinashirikiana.
Kama Mh atakuwa amemaliza Masters huko,it means alikuwa full time kwa mwaka mmoja,
sijui wananchi wa kigoma kaskazini wanajua mbunge wao alikuwa full time huko,au akina sam six wanaweza kuruhu serving MP kusoma ujerumani wakati also yuko kwenye kamati
nyeti za bunge.Ukiangalia hii masters ni mwaka mmoja full time.
ada ya kusoma (tuition) ni EURO 22000/= kabla ya living costs!Ukiconvert kwa hela ya madafu ni rate ya Tshs 1800 kwa euro ni Tshs 39,600,000/= karibu millioni Tshs 40millioni.
Ndiyo huyu wabongo ndio tunamwona ni anti -ufisadi,you are jocking!
loosers!huyu si ndo alikuwa kwenye ile tume ileeee! ameona mikataba haibadilishwi, akaamua kutumia report ya tume kupata PhD sio???? hahahaa
DAta zako hazina uzito ku justfy ufisadi wake, ww unaona hiyo ada ni sababu ya kuwa fisadi? watanzania wengi wanasoma ughaibuni lakini sio kuwa wanajilipia! bring more data to justfy your statemnt, otherwise una yako binafsiSikujua kuwa Mh. Kabwe naye yuko njiani kupata Phd!atapata tu.Hivyo vyuo viwili ni private
,vilianzishwa mwaka 2000 na watu wawili named after the colleges.Sio full fledged University,
Ujerumani kinaitwa Hochscule.Vyuo hivi vinatoa combine masters ya business and law,hivyo
vinashirikiana.
Kama Mh atakuwa amemaliza Masters huko,it means alikuwa full time kwa mwaka mmoja,
sijui wananchi wa kigoma kaskazini wanajua mbunge wao alikuwa full time huko,au akina sam six wanaweza kuruhu serving MP kusoma ujerumani wakati also yuko kwenye kamati
nyeti za bunge.Ukiangalia hii masters ni mwaka mmoja full time.
ada ya kusoma (tuition) ni EURO 22000/= kabla ya living costs!Ukiconvert kwa hela ya madafu ni rate ya Tshs 1800 kwa euro ni Tshs 39,600,000/= karibu millioni Tshs 40millioni.
Ndiyo huyu wabongo ndio tunamwona ni anti -ufisadi,you are jocking!
Mi naona poa tu! sio mfuasi wa hekima za vitabuni!loosers!
Mi naona poa tu! sio mfuasi wa hekima za vitabuni!
Okay, Mmakonde kumbe ishu yako ni ubora wa chuo anachosoma na sio walakini juu ya uwezo wake kulipia hiyo gharama? kama ndivo basi yaonyesha unamwonea huruma na hilo ni jema nsa bila shaka una data kamili za ubora wa chuo hicho maana upo huko pia. lakini pia sio lazima serikali imlipie kuna scholarship nyingi ambazo sio serikali ya Tanzania inayolipia.Madule,usiwe na jazba,sijawahi kusikia selikali inamlipia mtu kusoma katika private college ulaya,ambacho kimeanzishwa mwaka 2000 tu.
Kwanza ile mantinki ya Zitto kusoma chuo hiki private(also kama atafanya Phd yake hapo)
wakati kuna vyuo kibao vy serikali Ulaya/Marekani vinaweza kutoa hiyo Masters cheap ,na vinajulikana duniani kote kwa fani ya law na business!
Luteni cool down,hii ni free media sio kama uhuru na mzalendo.hapa tunatoa maoni ,hakuna gagging.Jilulize haya:
1.huyu ni serving MP,anaruka kusoma ulaya kwa chuo private ,kinatoza millioni 40 kwa mwaka.Bila shaka Kigoma kaskazini kuna kids wanakaa chini darasani!Kama kuna watu wamemponsor (sio govt) unaquestion independence yake,yeye kama mtu nyeti katika kamati ya bunge.je hawa wanaomsponsor ni lobbyists?
2.je bunge linamruhusu mtu analipwa fortune kuwasilisha wananchi wa kigoma,huku akisoma ulaya at the same time?
naona hii ni Tanzania tu,hata wapopo hawafanyi haya mambo
Madule,usiwe na jazba,sijawahi kusikia selikali inamlipia mtu kusoma katika private college ulaya,ambacho kimeanzishwa mwaka 2000 tu.
Kwanza ile mantinki ya Zitto kusoma chuo hiki private(also kama atafanya Phd yake hapo)
wakati kuna vyuo kibao vy serikali Ulaya/Marekani vinaweza kutoa hiyo Masters cheap ,na vinajulikana duniani kote kwa fani ya law na business!
100% asiyefuata hekima za vitabuni ni mfuasi shetani na tena argent kabisa wa pepo na wachawi, hata hivyo wewe ni muongo mashuhuri hakuna mtu duniani ajue kusoma na kuandika harafu asiwe mfuasi wa hekima za vitabuni au bora ungenyoka tu kuwa siyo mfuasi wa Quran na Biblia takatifu, na kinyume cha hapo wewe ni fuasi wa mizimuMi naona poa tu! sio mfuasi wa hekima za vitabuni!
Namnukuu Zitto kutoka huko ughaibuni
Zitto Zuberi Kabwe to wanabidii
s
Naomba nisahihishe tafadhali.
I am currently writing a PHD proposal and my admission depends on my the submission of it by May 2010 at WHU-Otto Beisheim School of Management. I am not a PHD candidate yet. At the time i am doing a second post graduate on Law and Business at Bucerius Law School in Hamburg and expecting to write on Fiscal stability clauses in mining agreements.
My PHD proposal so far is on Why Tanzania is yet to benefit from 10 years extraction of its mineral resouresces - testing the backward linakages (energy, transport and agri sectors).
hakika umeona mkuu, ukweli ni kwamba, watu wameweka mbele ujima wa mawazo,Post zingine hazina mishiko kabisa eti anatoa wapi pesa za kulipia eti kwanini asome chuo cha private na si cha serikali eti kwa vile kaona mikataba haibadilishwi eti anatumia report ya tume kupata Phd please cant you guys leave him alone
kwakuwa lugha hai 'fly', ama? Labda alikuwa na harakaKweli Zitto Kabwe ndio kaandika haya au? SMH
kwakuwa lugha hai 'fly', ama? Labda alikuwa na haraka