Mheshimiwa sana Chimbuvu......

Mheshimiwa sana Chimbuvu......

mume wa mtu ni sumu..

mimi sitaki...
mimisa mbona ni mwaka wa sita huu tulishaachana na Madame B baada ya kukimbia na vijisenti nilivyoviacha nyumbani?
Madame B wangu wa zamani,
Wewe ndie wangu wa thamani,
Moyo mwingine haumtamani,
kama Bishanga anajidai na vyake vya thamani,
basi wewe kwangu umezidi kifani,
natamani kulala kwako mapajani,
machozi unifute usoni,
nikuvike vidani vya thamani.
Ndani tuishi kwa amani.
 
mimisa umekosea,hebu angalia moyo wako ndani,machozi yanavyobubujika,
nakupenda,mimi sina mke kabisa,
Madame B unayemuona ama kumsikia alikuwa housegal wa nyumbani kwangu na sasa kaolewa na Ben Saanane nikubali mimisa wala hutojutia uamuzi wako wa kupenda.
Najua kupenda mimi mpaka akina Bishanga wanakuja kujifunza toka kwangu.
Njoo nikuonyeshe mapenzi ya kweli

mume wa mtu ni sumu..

mimi sitaki...
 
Last edited by a moderator:

akuu

afu mie mke wa mtu..tafuta walio singo bana
mimisa umekosea,hebu angalia moyo wako ndani,machozi yanavyobubujika,
nakupenda,mimi sina mke kabisa,
Madame B unayemuona ama kumsikia alikuwa housegal wa nyumbani kwangu na sasa kaolewa na Ben Saanane nikubali mimisa wala hutojutia uamuzi wako wa kupenda.
Najua kupenda mimi mpaka akina Bishanga wanakuja kujifunza toka kwangu.
Njoo nikuonyeshe mapenzi ya kweli
 
Shooting ya muvi mpya ya chitchatlove

okay starring?
1......................
2........................
3.......................

Najua Chimbuvu hakosi apa issue ni kwa actors wengine
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu kesho njoo bwiru kama uko free
 
Last edited by a moderator:
Mi nimekuona wewe

Kila umwinae unamtaka... mimisa achana na haya mababu
Kama zimekuzidi njoo kwangu kijana mwenzio nitakusaidia hata one night zitakwisha zooooooote kuliko kwenda kuchafuliwa na either Bishanga au huyu mwenyekiti fake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom