Mheshimiwa sana Chimbuvu......

Mheshimiwa sana Chimbuvu......

naona hela sasa zinakuwasha
umefanya tour kwa watoto yatima?
kama hujafanya nenda mkoani kwenu
upeleke contribution yako pls pls
Uliahidi kutoa tamko rasmi ndani ya masaa 72 kuhusu hatma ya mahusiano yako na Madame B,muda unayoyoma hivo na wewe ndo unakazia udomo zege,toa tamko bana kama unammwaga vibosile wamnyanyue wakampige sop sop Dubai,anahitaji pedeshee la kishua likampige shopping ya nguvu au ka vipi Sandton,J'burg.
 
mimisa mbona ni mwaka wa sita huu tulishaachana na Madame B baada ya kukimbia na vijisenti nilivyoviacha nyumbani?
Wewe ndie wangu wa thamani,
Moyo mwingine haumtamani,
kama Bishanga anajidai na vyake vya thamani,
basi wewe kwangu umezidi kifani,
natamani kulala kwako mapajani,
machozi unifute usoni,
nikuvike vidani vya thamani.
Ndani tuishi kwa amani.

uokote uende nao kwa mkeo..

au mmetalikiana?
 
Last edited by a moderator:
mimisa mbona ni mwaka wa sita huu tulishaachana na Madame B baada ya kukimbia na vijisenti nilivyoviacha nyumbani?
Madame B wangu wa zamani,
Wewe ndie wangu wa thamani,
Moyo mwingine haumtamani,
kama Bishanga anajidai na vyake vya thamani,
basi wewe kwangu umezidi kifani,
natamani kulala kwako mapajani,
machozi unifute usoni,
nikuvike vidani vya thamani.
Ndani tuishi kwa amani.

uokote uende nao kwa mkeo..

au mmetalikiana?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom