Wakati ndo kwanza narudi ujanani, Iam just 57 years Young..
daaaaah, kwa iyo ile nyumba ya awali umemwachia nani?
Mzee nakuheshimu,acha kuingilia anga zangu ,ninatembea na tindikali ohoooo
yani ndoa yangu ifungishe wewe..na wewe mwenyewe unataka uivunje?
mwenyekiti,kweli?
niko ndoani..wanajaribu kutikisa
Aaah wapi, naiimarisha zaidi, si unajua tena mwenyekiti nimejaaliwa upako wa kiutume na kiunabii vyote kwa pamoja...!??
Tupo ktk shooting hapa aisee
Onyo.
Kufukuzia wake za watu ni hatari kwa afya ya uso wako.
Tindikali ipo tayari,vijana wapo tayari,angalia mabilionea wenzako hapo arusha either uwafuate huko ama uachane na wazo la mimisa ili uweze endelea na maisha yako na familia
Hivi unatishia b52 kwa tindikali?
Utaniweza???? Kawaulize afghanstan watakupa report nilivyochimba milima ya Torabora
Ushawahi kuamka na kujikuta upo juu ya paa kama ulivyozaliwa?
Kwani uliambiwa mimi nilizaliwa juu ya paa???
Kama hukuambiwa ndio taarifa ya mujini hiyo