doesnt matter nani atawini mie ninachotaka ni tenda!!!
Uliahidi kutoa tamko rasmi ndani ya masaa 72 kuhusu hatma ya mahusiano yako na Madame B,muda unayoyoma hivo na wewe ndo unakazia udomo zege,toa tamko bana kama unammwaga vibosile wamnyanyue wakampige sop sop Dubai,anahitaji pedeshee la kishua likampige shopping ya nguvu au ka vipi Sandton,J'burg.
Nashukuru kwa kukumbushia, ni kweli nilitoa ahadi kuwa ndani ya masaa 72 nitatoa tamko kuhusu hatma ya mahusiano yangu na Madame B .
Ni ngumu kueleza lakini nikiwa kama mwanaume yanipasa kuchukua maamuzi magumu katika haya mahusiano yangu baina yangu na Madame B
najua mengi yataongewa lakini mwisho wa yote utafika na na itajulikana pumba na ngano.
Nashukuru kwa yote na kwa uvumilivu wenu. Naam.kesho siku ya jumapili ndio tamko nitatoa rasmi,kwa hiyo waandishi wa habari wa udakuJF na wa forbes tutakutana ChitChat restaurant inayomilikiwa na Erickb52 .
Asante.

aisee ngoja nitafute ile tripod yangu ili kesho nije kufanya shooting kwa ajili ya manyuzzz!!!
😛eace:😛eace:😛eace:
Hana ubavu wa kuniacha.
Mie mwanamke Rijali.
Mbona mi nimekuacha!??
Au kwangu LIMBWATA lako lilidunda??
Jumapili ndo inayoyoma hivo mkuu!Nashukuru kwa kukumbushia, ni kweli nilitoa ahadi kuwa ndani ya masaa 72 nitatoa tamko kuhusu hatma ya mahusiano yangu na Madame B .
Ni ngumu kueleza lakini nikiwa kama mwanaume yanipasa kuchukua maamuzi magumu katika haya mahusiano yangu baina yangu na Madame B
najua mengi yataongewa lakini mwisho wa yote utafika na na itajulikana pumba na ngano.
Nashukuru kwa yote na kwa uvumilivu wenu. Naam.kesho siku ya jumapili ndio tamko nitatoa rasmi,kwa hiyo waandishi wa habari wa udakuJF na wa forbes tutakutana ChitChat restaurant inayomilikiwa na Erickb52 .
Asante.
Muda si mrefu nitatoa tamko