Mheshimiwa Rais, tafadhali soma hapa!

Mheshimiwa Rais, tafadhali soma hapa!

Nimetumwa na wenzangu Kijiweni,hapa kwenye kona kama unaelekea kwa upande wa pili wa mtaa...wanaulizia yafuatayo:

1. Eti bado una yale majina ya ile sensa ya wale waliotajwa na waTz kwamba ni washiriki wa makosa mbalimbali ya kijinai katika ile sensa ya kipindi kileee??

2. Eti ni kweli wafanyakazi wa serikali yako hawana morali kabisa??

3. Eti ni kweli tutashindwa kuwa na uwezo wa kununua hata mlo mmoja kwa siku??

4. Eti wanauliza ukimaliza muda wako wakukumbuke kwa kipi??

Actually wana maswali mengi sana,afu wanauliza bila mpangilio,hata mengine nimeyasahu, nikienda tena nitayaandika vizuri kisha nitakuja kukupostia hapa jeiefu..ubarikiwe!!
Nimetumwa na mheshimiwa nilite jibu la swali la nne. Anasema "nikimaliza muda wangu watanzania watasema we have had the most handsome president since independence" No more
 
Nimetumwa na wenzangu Kijiweni,hapa kwenye kona kama unaelekea kwa upande wa pili wa mtaa...wanaulizia yafuatayo:

1. Eti bado una yale majina ya ile sensa ya wale waliotajwa na waTz kwamba ni washiriki wa makosa mbalimbali ya kijinai katika ile sensa ya kipindi kileee??

2. Eti ni kweli wafanyakazi wa serikali yako hawana morali kabisa??

3. Eti ni kweli tutashindwa kuwa na uwezo wa kununua hata mlo mmoja kwa siku??

4. Eti wanauliza ukimaliza muda wako wakukumbuke kwa kipi??

Actually wana maswali mengi sana,afu wanauliza bila mpangilio,hata mengine nimeyasahu, nikienda tena nitayaandika vizuri kisha nitakuja kukupostia hapa jeiefu..ubarikiwe!!

Mimi SIJUI, nasema tena SIJUI..eti kuna majina ya makosa ya jinai..SIJUI, Jinai ndio nini..SIJUI, Wafanyakaz hawana morali..SIJUI,Kwani morali ndio nini..SIJUI, tutashindwa kununua hata mlo mmoja hilo SIJUI na mlo wa nini SIJUI, Wanikumbuke SIJUI, wanikumbuke kwa lipi ..SIJUI. Ehee hivi mi ni Rais ..SIJUI !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom