Nimetumwa na wenzangu Kijiweni,hapa kwenye kona kama unaelekea kwa upande wa pili wa mtaa...wanaulizia yafuatayo:
1. Eti bado una yale majina ya ile sensa ya wale waliotajwa na waTz kwamba ni washiriki wa makosa mbalimbali ya kijinai katika ile sensa ya kipindi kileee??
2. Eti ni kweli wafanyakazi wa serikali yako hawana morali kabisa??
3. Eti ni kweli tutashindwa kuwa na uwezo wa kununua hata mlo mmoja kwa siku??
4. Eti wanauliza ukimaliza muda wako wakukumbuke kwa kipi??
Actually wana maswali mengi sana,afu wanauliza bila mpangilio,hata mengine nimeyasahu, nikienda tena nitayaandika vizuri kisha nitakuja kukupostia hapa jeiefu..ubarikiwe!!
Jinamizi la wanamtandao linamsumbua kwani hao aliwagawia vyeo ndio waliofanikisha kuwapo kwake madarakani na ndio haohao wanaofanya madudu kila kukicha na hawaishi vinywani mwa watu kwa tuhuma za ufisadi,EPA,Deep GREEN,Kiwira,MEREMETA,madawa ya kulevya nk
KIUKWELI anawaogopa watamuumbua,na bahati mbaya wasaidizi wake kuanzia makamu,waziri mkuu na spika wote ni makondoo hakuna anayethubutu hata kumkosoa,afadhali ya Sitta alimwambia awe MKALI kidogo!
Anasahau kwamba ipo siku nae atakuwa raia wa kawaida kabisa,nadhani amuulize Kaunda ile katiba mbovu aliyoikumbatia Zambia alipoingia Chiluba akamchapa nayo
Kosa linatokea mara mbili bado unawachekea watendaji wako je wewe ni Raisi ama mhujumu mwenzao?
Mkuu wenye akili ndefundefu walimuelewa![/B][/COLOR] Naunawapongeza kwa kazi nzuri! ya kuuuzima maboom kati ya maghara 22, 21 yameteketea hata ukitafuta percent hapo mkuuu upuuuzi!
NDO MAANA NASEMA PUMBAVU ZENU!
mkuu naomba nisifikilie zaidi kauli zake niiishie hapo bcs naumia saana mkuu!mkuu wenye akili ndefundefu walimuelewa!
let me get my machine gun; i want to go for a walk around magogoni front beach!! The weekend has just started and my fridge is running out of the lagers.
wewe sawa na mimi nilikuwa sijui kwanini raisi analindwa vile but kwa sasa naona umuhimu wake na ikiwezekana wamuongezee ulinzi zaidi!sasa ndo najua kwa nini rais ana bodyguard
yAANI UKIONA UNAISHA KWA RAHA NCHI HII UJUE AKILI YAKO INAMATATIZO!
salva akisoma anamwambia watu wanakusfifia sana bishomire veri excelent presidenti