Unaposema Hakua na chochote cha muhimu alichokua anafanya, je wewe unaijua ratiba ya shughuli za Rais Ikulu???? Hivi Kama Mtu Huna Cha Kuandika Ni Kwanini Usikae Kimya tu Kuliko Kujitaftia Matatizo. Umchukie au Umpende, JPM ndio Rais wa Tz. Subiri hadi 2015.....Nilipo anza kumchukia ni pale ambapo sikumuona kwenye msiba wa wale watoto wa arusha alafu hakua na chochote cha muhim alichokua anafanya nikajiuliza ata mjali nani kama pale hakuenda
Yaache yajitese mijinfsi yao!haukumpigia kura...siku zote we ni kumsema vibaya... nakushauri Hama nchi na urudi baada ya miaka 8 atakuwa amemaliza mda wake ....hatuwezi kuhudhuria kila msiba..Hapa kazi tuuu
hiyo signature yako tu iko mukide
Hata Mke wake? [emoji86]I'm sure in TZ there is no one who loves that Nigga even his wife.
Ahsanta kiongozi wangu...hiyo signature yako tu iko mukide
There is one. Bashite loves The Maguli ( Mpindishaji wa vilivyonyooka).I'm sure in TZ there is no one who loves that Nigga even his wife.
Kwani amekataa huwa ni Rais wakeNdio rais wako huyo kama vip hama nchi
Kumchukia kwako ndio kunampa tiketi Lowasa ya Kwenda Ikulu?
Yule ndio rais wako! Hutaki kufa
I'm sure in TZ there is no one who loves that Nigga even his wife.
Huyu si ni Mh. Rais J.P Magufuli?
Nadhani....Huyu si ni Mh. Rais J.P Magufuli?
Na ule wizi wa rambi rambi mnaushughulikiaje?Ukiacha wizi utampenda tu
Hadi 2015 tena?Unaposema Hakua na chochote cha muhimu alichokua anafanya, je wewe unaijua ratiba ya shughuli za Rais Ikulu???? Hivi Kama Mtu Huna Cha Kuandika Ni Kwanini Usikae Kimya tu Kuliko Kujitaftia Matatizo. Umchukie au Umpende, JPM ndio Rais wa Tz. Subiri hadi 2015.....
Akijibu hilo nami nishitueNa ule wizi wa rambi rambi mnaushughulikiaje?
Huyu Maguli ni yule mchezaji wa Taifa stars? Mbona ni mchezaji mzuri sana au wewe mshabiki wa simba sc ? Nasikia mlimtoa kwa mkopo halafu akakataa kurudi.Kwani huyo Maguli amekukosea nini maguli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mheshimiwa Rais wangu Dkt. Magufuli naanza kujiuliza hii tabia yako ni ya Wasukuma kweli hawa hawa ninaowajua au labda mwenzetu Wewe ni Mwana Diaspora wa Taifa jingine ambalo halina utu huu wa Kitanzania uliozoeleka?
Mheshimiwa Rais wangu Dkt. Magufuli hivi una ' matatizo ' gani na Misiba? Mbona Mimi nimeishi miaka mitatu ( 3 ) na ' Wananzengo ' wa Kisukuma kule Nyegezi, Luchelele, Nsumba, Malimbe, Mkolani na Buhongwa lakini tulikuwa ' tunajumuika ' nao sana Misibani na hata Mazishini?
.
Nina kaswali kadogo tuu kumhusu Kato!, kwa mujibu wa bandiko lako hili, umeonyesha Kato kwao halisi haswa ni Karagwe ,Kagera kwa Mzee Machalila, sasa ilikuwaje akaibukia kule?!. Is he adopted or what?!. Just tell the truth! ,if you don't, some days the truth might come out, the sooner the better, kwa sababu if the truth comes out close to 2020 it won't be a good truth! .huko ni kwenu, lakini pia hata KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii), sasa kama ndo sababu ya kujenga nyumbani anza nyumbani ambapo pako kwenye mipango ya Siku nyingi,
2025Hadi 2015 tena?