Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Anakugharimu nini?
 
Roho katili itaonaje kosa?ingekuwa kuna kuzindua terrible teens angepanga na vijembe vya kuongea na kutaka fent fod zote awe yeye na bashite.
Ni heri kuuchuna tu,maana hata wasaidizi wakaribu yake wamemshindwa.
 

Alivyoshangiliwa lowassa alitamani kuzima TV [emoji23] [emoji23]
 
Nilishaacha ' kujibizana ' na ' Hopeless Creatures ' zamani sana.
hivi kwa akili yako unadhani kuwa wewe ndiye mwenye akiliu peke yako hapa duniani. na hata kutoa vioja vyako hapa kwa lugha ya kujilinda linda ili eti usijibiwe wewe ni nani
 
hivi kwa akili yako unadhani kuwa wewe ndiye mwenye akiliu peke yako hapa duniani. na hata kutoa vioja vyako hapa kwa lugha ya kujilinda linda ili eti usijibiwe wewe ni nani

Ndiyo hivyo sasa ' ulijipendekeza ' na nikakupa ' dozi ' yako ' mujarab ' kabisa na sasa naona unaanza kuweweseka nami.
 
Ni heri kuuchuna tu,maana hata wasaidizi wakaribu yake wamemshindwa.

Alishasema yeye ni Presida anayejiamini!
Hahitaji kuambiwa cha kufanya kama vile kumwambia KUHUDHURIA MAZISHI! Ukimwambia ndo umepoteza kabisa!!!
Lakini hapohapo anaomba Watanzania WAMWOMBEE sasa sijui kujiamini kwake kuko wapi! Yaani huyu baba wa Kisukuma ni shiiida! Ni vihoja na mahoka!!!!
 
Lakini si uliona alilia? ile inatosha asije akaenda kwenye misiba kutimiliza ndoto ya Godbles Lema.

Mimi nafikiri anavyolia akiwa huko ikulu huwa anaishiwa nguvu hawezi kuhimili safari ya kufika huko kwenye misiba anaweza kujibwaga chini ama labda ni ndagu zake, we never know jamani.

Tumwache tu yeye awe analilia huko huko ikulu ila safari hii chonde chonde misaada ya wafiwa asije kuipeleka kuijengea tena hiyo barabara ilikoangukia gari akawanyima wafiwa.
 
mwacheni huwezi jua amepatwa na nini? ni mtu mzima yule anajua anachokifanya mbona kagera alienda baadaye kusalimia labda ana moyo mwepesi analia zake ndani, kumuona rais analia nje aibu nayo...mwacheni akipata nguvu atakuja kutoa pole.
Kusalimia kukejeli?
Mwafwaaaa
 

Sawa nimekuelewa wewe uliye kwiva kujenga hoja........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…