Mheshimiwa Pinda

Kabembe

JF-Expert Member
Feb 11, 2009
2,548
1,742
Nimegundua kuwa waziri mkuu Mizengo Pinda ni kiongozi anayependa kuonewa huruma na wananchi ili aendelee kuwepo madarakani bila watu kuhoji au kutilia shaka utendaji wake,lakini ukifuatilia kwa makini mheshimiwa Pinda ni kiongozi goigoi ambaye anataka watu waamini kwamba katika serikali hii yeye hana maamuzi yeyote zaidi ya kuwa ndio mzee...lakini anasahau kuwa watanzania wanazifahamu na kuzikumbuka sifa na maamuzi mbalimbali ya mawaziri wakuu waliopita e.g Sokoine,Salimu,Sumaye au ata EL...hivi Pinda ni waziri mkuu gani ambaye hata Magufuri anamshinda??? Kuwa mtoto wa mkulima maanake ni kukerwa,kuishi na kutenda tofauti na mazoea na hata ikibidi kuchukiwa na viongozi wenzao kwa maslahi ya umma na sio ku-pose pose eti ooh mie mtoto wa mkulima...mtoto wa mkulima fake!
 
Yap umepatia, ni goigoi saaana tena sana. Kujiita mtot wa mkulima sijui masikini yoote hiyo ni kutafuta huruma toka kwa wananchi. Nadhani angekataa hiyo kazi lakini kama kaikubali basi lamawa haziepukiki kwake.
 
Uwoga wa kuchukua maamuzi mazito,woga wa kufuatilia mambo machafu na kuyakemea,kukata shangingi sio tija Pinda anapenda sifa kwa wananchi wasiotaka kufikiri na kuumiza kichwa kama yeye pls Pinda kama kazi imekushinda bwaga chini kuna vitu vingi umeshindwa kuwawajibisha watu wako huku juu.uko slow mnooooo like Joka la kibisa.
Mtoto gani wa mkilima hata kushika jembe hujui, acha pinda mambo yako kulegea hutetei wanyonge kazi kutaka kuonewa huruma na wananchi wakati wananchi wanahitaji huruma yako kwa ufisadi na udharimu uliojaaa huku juukwenu haya Tanesco hiyo inalipa deni kubwa hata tmko lako hatulisikii acha woga chukua hatua pinda shingo.
 
Nimegundua kuwa waziri mkuu Mizengo Pinda ni kiongozi anayependa kuonewa huruma na wananchi ili aendelee kuwepo madarakani bila watu kuhoji au kutilia shaka utendaji wake,lakini ukifuatilia kwa makini mheshimiwa Pinda ni kiongozi goigoi ambaye anataka watu waamini kwamba katika serikali hii yeye hana maamuzi yeyote zaidi ya kuwa ndio mzee...lakini anasahau kuwa watanzania wanazifahamu na kuzikumbuka sifa na maamuzi mbalimbali ya mawaziri wakuu waliopita e.g Sokoine,Salimu,Sumaye au ata EL...hivi Pinda ni waziri mkuu gani ambaye hata Magufuri anamshinda??? Kuwa mtoto wa mkulima maanake ni kukerwa,kuishi na kutenda tofauti na mazoea na hata ikibidi kuchukiwa na viongozi wenzao kwa maslahi ya umma na sio ku-pose pose eti ooh mie mtoto wa mkulima...mtoto wa mkulima fake!

Ah hee . Kweli tupu. Hana uchungu na nchi wala nini, hawezi hata kukemea maupupu huko mawizarani ambako yeye ndio boss. Watu tumekaa gizani siku kibao wala hawezi kutoa statement au order yo yote. bora hata huyo Ngeleja. KAzi kulia lia tu kama d**mu.
 
prove otherwise. Pinda ni goi goi la kutupwa, linalosubiri kuambiwa cha kufanya kama alivyoamriwa kuchakachua kura jimbo la Sumbawanga mjini kwa kutishiwa kuwa asipofanya hivyo U-PM hatoupata tena.
 
Back
Top Bottom