Mheshimiwa nanihii

Na bado ipo siku mtadundana! Kweli kwa kukosa maarifa tunaangamia!
 
na ndio itakavyokuwa maana alikuwa anaogopa kurushwa live sasa hivi atawapa makavu live
 
Katuni za huyu mchizi huwa zinabeba jumbe nyingi sana.
 
Kipanya safi sana,ujumbe umefika bila kupapasa
 
Nikimkuta uyu mama anapambana na chatu kwa kweli mimi nitamsaidia chatu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nachojiuliza kila siku hivi huyu kipanya hawaogopi hawa wakulu???
Hakuna cha kuogopa hapa anasema ukweli mtupu...keep it up kipanya!!!!Shame ndungai na bi mkora kwa kulibaka bunge
 
Makinda chukua mfano hapa! Hii ilikua Ukrein Spika anakingwa na Miavuli tafakari nini kilitokea!

 
Makinda chukua mfano hapa! Hii ilikua Ukrein Spika anakingwa na Miavuli tafakari nini kilitokea!

wanaona hii hali imekaribia hivyo wanakwepa aibu ya kupigwa ukumbini ndio maana waleta hoja za ku-edit kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…