Mheshimiwa Mwakyembe Jiandae Kuchukua Nchi

Pamoja na kwamba huna mkuu, ni mtu wa staha, na ni mapema sana, lakini kwa kanzi ya kwanza nzito uliyopewa ulionyesha uzalendo wa hali ya juu. Najua kazi ile ya kamati ya umeme ilikuwa hatari sana, lakini uliifanya kwa umakini na uaminifu kwa umma. inawezekana kwa usalama mengine hayakusemwa lakin ulifanya. Unafaa kuchukua uraisi 2015.

Vigezo:
Umri unakuruhusu
Umeshapewa ujiko wa uwaziri, kunjua makucha
Kule kyela watakataa jinsi wanavyokuhitaji, anza kupiga debe
Wako wengine wenye sifa lakini umewazidi kielimu Dr.
Hata CDM wanakuogopa
Ni mcha Mungu
Huna Mkuu
Mtoto wa mkulima
Unaujua ukweli pamoja na kwamba umebanwa

Hawa wengine, bahati mbaya watakuwa wamwchoka
Dr Slaa. Six, Mwandosya, Makamba, Lowasa NK

tafadhali anza mbele kwa mbele, tena staili ya Magufuli.

Hatutaki kuwa Richmonded

Mwakyembe hawezi kuwa rais wa Tanzania as long as Lowasa is alive.Hata ningekuwa mimi ningefanya whatever it takes kuhakikisha kwamba he doesn't.
 
Mwalimu alisema hivi, kama kiongozi amechaguliwa na watu, halafu anasimamia haki za watu waliomchagua basi ana haki ya kuwa kiongozi, lakini kama au hakuchaguliwa na wananchi au amechaguliwa halafu akaacha kusimamia haki za wale waliomchagua, basi anakuwa amepoteza haki ya kuwa kiongozi. huyu alikuwa mwana wa fdilisophia. Alimwambia mtu mmoja aliyekuwa TYL kuwa ni mchafu na hafai kuwa kiongozi, ana tamm ya mali, bado kijana mdogo lakini ana mali nyingi sana, huyu!. Mambo haya ni juu ya wana wa nchi, CCM, CUF, CDM, UDP, TLP, NCCR, NLD NK kuchambua pumba ni ipi na mchele ni upi.

Tatizo huwa ni kukubali kununuliwa. Vyama inabidi vifute kabisa dhana ya kununua wanachama. Kwani chama ni wanachama, na kinaendeshwa na wanachama. Kama kuna mtu anafikiri kwa visenti vyake atanunua wanachama wote amekwisha. asome alama za nyakati. kuna watu waligombea ubunge kwa pesa nyingi wameshindwa na watu waliokuwa wakichangiwa na wapiga kura.

Alama za nyakati, zinaonyesha Mheshimiwa Mwakyembe haitaji kuonga hata senti tano kwa mtanzania. Ila ajue kwamba asiposhughulikia swala hili hata nbinguni ataulizwa.
 
Mheshiwa mwakyembe ni tishio kwelikweli kwa mafisadi, sasa kazi kwetu wana wa nchi, ama zetu ama zao. Tahakikishe wako mapangoni wakati ya uchaguzi 2015, warudi baada ya hapo.
 
Wafuatao wanaonekana kufananishwa:
Mwekyembe
Sita
Mwandosya
Magufuli
Slaa
Tundu
Lipumba

naona kama Mwakyembe yuko juu kwa vigezo mbalimbali:msela:
 
Hizi thread za kampeni ni Kupotosha watu na Jamii nzima hasa pale inapoonekana mtoa maada anaweza kuwa ametumwa kufanya hivyo; Sijui kwanini watu hawafanyi tafiti za kutosha kabla ya kusema lolote, Mtu yeyote anayekuja na maada ya kutafu Kiongozi mzuri ndani ya CCM ni Mnafiki kwa Watanzania na haitakii hii nchni jema hata kidogo, Chama ni mfumo, Mfumo wa CCM hauwezi kutoa kiongozi mzuri na wakutumikia Watanzani hata siku moja. Mimi huwasitoi maada kila wakati kwasababu naamini katika kushirikisha akili katika kila kazi ya kutoa maada hapa JF, Lakini siku zinavyoenda kuna wakati unafungua Maada baada ya kuisoma unatapika na ku-sign out kabisa; Hivi tunapoongelea Kushindwa kwa Kikwete kuna watu kwa akili zao wanaona kashindwa yeye na Familia yake!! au yeye kama nani?? Rais anapoonekana kashindwa kazi ujue walio chini yake walishashindwa siku nyingi, ujue hana wasaidizi ndio maana anaonekana hivyo, hana wasaidizi kotekote, kwenye Chama na serikali, kama ni vita ukisikia Rais kakamatwa au kauwawa ujue askali tabriban wote wamekwisha uwawa.

Serikali ni kama timu ya Mpira, haiingii akilini timu bomu, imeshindwa na inaelekea kushuka daraja, alafu unasema Beki four anafaa kuwa Coach ili timu yetu ipande daraja kwa kutumia wachezaji hao hao, eti kwavile Beki four aliokoa goli moja kati ya magoli kumi tuliofungwa huo ni upuuzi mtupu. Eti kwa vile aliokoa lile gori moja kwa ustadi mkubwa akiwa kocha na wacheji hawawa hamna shida tunapanda daraja na kuchukua kombe!! Kama Beki four ni mzuri hatoke kwenye hiyo timu bomu tutengeneze comination ya wachezaji bora ili tupate timu nzuri.

Mifano iliyoshangiliwa na Watanzania kabla hawajapewa ofisi mingi ila baadhi hii hapa

  1. 2005 Wakati wa Uchaguzi Kikwete, Bado naami kuwa labda angekuwa rais kwa chama kingine labda hasinge kuwa Fisadi kiasi hicho, naami hasinge sahau kuwa yeye ni Mtanzani kama alivyosasa
  2. Edward Hoseah, 2006 Baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa PCB, sasa PCCB watu wengi na magazeti yalimpamba sasa, kuwa rushwa imepata dawa, kumbe hata kujua kuwa Richmond ilikuwa hatari kwa mstakabali wa nchni hana uwezo huo, sasa sijui rushwa gani alikuwa anasifiwa wakati hule anateuliwa
  3. Lowasa, 2006 Baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya uchaguzi na kupishwa na Bunge, Magazeti na watu walipaza sauti kona zote za Tanzania kuwaambia wakulima na wafanyakazi kuwa Sokoine amefufuka, kaja kupitia Lowasa!!! sijui kama Richmond ndio ilikuwa mzimu wa Sokoine??!
  4. Pinda, alipoteuliwa kushika nafasi ya Lowasa Mhmmm!!! Nimesahau yaliyosemwa, maana yanatia kichefuchefu nikiangalia anayofanya sasa hivi.

Hamna namna yoyote iwe ya kisayansi au ya Kiitikadi inayoweza kufanywa na CCM leo hii wakapata Mgombe bora na anayeweza kuitumikia nchni hii haipo na hao watu wasafi hamo ndani ya CCM, mfumo wa CCM hauruhusu watu safi kuwa humo, kuwa Mbunge kupitia CCM, inasemekana wanatumia rushwa ya takriban milioni 70 hadi 80; na kuwa kiongozi ndani ya CCM katika ngazi ya wilaya tu, ambayo CDM na CUF wanaweza kukubembeleza na kukuomba kuchukua hiyo nafasi, ndani ya CCM inapatikana kwa takribani rushwa yenye gharama ya milioni 10 hadi 20 hapo ndipo unaweza kuwa M/kiti, Mjumbe wa CCM katika ngazi ya Wilaya hicho ni chama ambacho hakiwe kuwa na mtu mzuri na safi hata kidogo,

Watu wanasifia na kupiga kampeni kama hizi wametupotosha vya kutosha tuwe nao macho safari hii, kuna wengine wana-nadi jina chafu kama la Magufuri, maajabu sana.
 
HUna haja ya ku-shout!!
 
Wanaharakati wamfagilia, Dk. Slaa, Mwakyembe na Selelii

Na Richard Makore

11th February 2011

headline_bullet.jpg
Wataka ziundwe kanuni kuwabana wabunge kuhudhuria vikao

Zindua(2).jpg

Mchambuzi wa masuala ya kijamii na kisiasa nchini, Jenerali Ulimwengu (katikati),Kaimu Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Imelda Urio (kulia), mmoja wa waandaaji wa ripoti ya utendaji kazi wa Bunge la 9 kuanzia 2005-2010, Deusi Kibamba wakionyesah ripoti hiyo katika uzinduzi wake.

[FONT=ArialMT, sans-serif]Wanaharakati nchini wameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutunga kanuni zitakazowabana wabunge washiriki kikamilifu katika shughuli za kila siku.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Wamesema baadhi ya wabunge hawahudhurii wala kushiriki kwenye mijadala wakati wakiendelea kupata mishara minono, marupurupu na posho za kila siku.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kadhalika, wanaharakati hao wamewapongeza baadhi ya wabunge waliokuwa kawenye Bunge la mwaka 2005/ 2010 akiwemo aliyekuwa Mbunge wa Karatu (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa, Lucas Selelii wa Nzega (CCM) na Dk.Harrison Mwakyembe Kyela kupitia (CCM) kwa jinsi ambavyo walitoa michango yao ambayo ilisaidia kuboresha utendaji wa chombo hicho.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mwenyekiti wa jopo la uangalizi wa masuala ya Bunge kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Deus Kibamba aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaamwakati wa uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa Bunge lililopita kwa kipindi cha miaka mitano kati ya mwaka 2005/2010.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Katika ripoti hiyo, Kibamba alisema wabunge waliokuwa katika Bunge lililopita hawakuhudhuria vikoa vya Bunge kwa kiwango kinachoridhisha na kuwawakilisha wananchi kwenye mijadala.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema katika hali ya kushangaza unapofika wakati wa kujiongezea mishahara wabunge wote wanakuwa kitu kimoja bila kujali wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ama wale wanaotoka vyama vya upinzani.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Aidha, alisema wabunge wa Bunge lililopita walikuwa hawahudhurii vikao vya Bunge kwa kiwango kinachotakiwa na badala yake walikuwa mstari wa mbele kutunga sheria ambayo iliwawezesha kujiongezea mishahara, kuanzisha fedha za mfuko wa jimbo ambao alisema hauwasaidii wananchi wa kawaida.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kwa upande wake, Mwandishi wa habari mkongwe hapa nchin amabye pia ni mwanaharakati, Generali Ulimwengu ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo, alisema wabunge 70 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawana kazi yoyote ya kufanya ingawa wanalipwa fedha nyingi kama mishahara, posho na marupurupu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alitaja aina ya wabunge ambao hawana kazi yoyote ndani ya Bunge kuwa ni pamoja na wanaoteuliwa na rais, mawaziri na wanaoshikilia nafasi za wakuu wa mikoa.[/FONT]

CHANZO: NIPASHE

Kuna tofauti kati ya tabia ya chama fulani na wanachama. Kuna mambo mengi yanayochangia hii:
Kukaidi kwa makusudi madhumuni ya chama
Kukandamizwa ndani ya chama
Chama kushikwa na watu wasio na muelekeo

Kuna mawili ya kufanya:
Kupambana ndania ya chama
Kutoka katika chama hicho, hii ni haki ya binadamu

Usidhani watu wote walioko CCM ni mafisadi. Mbona wamempokea Shibuda, Dr Slaa NK, Hata wanaharakati wanamwona Mwakyembe ni Tofauti. Kitabia, Msimamo, Kizalendo. Upo hapo mwana wa utafiti yakinifu.
 
Hizi thread za kampeni ni Kupotosha watu na Jamii nzima hasa pale inapoonekana mtoa maada anaweza kuwa ametumwa kufanya hivyo; Sijui kwanini watu hawafanyi tafiti za kutosha kabla ya kusema lolote, .

Tafiti gani unazofanya wewe kuponda threads za wengine, soma hapo juu wanaharakati wanasema nini. Hata upinzani, unawaza kuwa na mafisadi, na madikteta. Unajua kilichotokea Zambia baada ya Chiluba kuingia madarakani? Cam-on man be a genttleman. Kama huwezi kupata Nipashe ya leo nenda hapo juu.
 
Thread kama hizi ndio huwa zinanifanya niwe nawaza kupumzika kulog in JF, akili ndogo, upewo mdogo, basi naogopa ban, ngoja nihamie kwenye thread nyingine.
 
Akili ndogo inachangia, kutokuelewa theads nyingine. Haijui maana ya democrasia na uwezo wa kuvumilia mawazo mbadala. Hamia kwenye threads za ngono zinakufaa.

Maoni yangu ni kwamba Fisadi au Kiongozi anaweza kutoka chama chochote kile. Inahitaji muda kufanya utafitiwa , majadiliano na mwinyo tunahamasisha wahusika kujielewa na kuchukua maamuzi sahihi.

Mwakyembe anafaa kuwa Raisi wa Nchi 2015. Siongelei chama hapa, haya sio maswala ya ushabiki bali uzalendo.
 
Hesabu post zako kwenye thread hii na za wachangiaji wengine utapata jibu. labda tu unieleze kile alichokificha Mwakyembe kwenye kamati teule ya Bunge kuchunguza Kashfa ya Richmond ni kipi? na kwa maslahi ya nani? na je tukimpa huo urais kwa mapenzi yako ataacha kuwaficha mambo watanzania? kumbuka ile kamati iliundwa kwa kutumia kodi zetu Watanzani na walisafiri mpaka Marekani kwa lengo moja tu, kuupata ukweli, sasa je inakuwaje baada ya kuupata ukweli Mwakyembe aufiche ukweli wote huku akijuwa ametumi pesa za wanukajasho kwa kutafuta ukweli?
hebu jibu swali hili dogo ndio nikuulize swali zito, mimi uwa namuuliza mtu kutokana na upeo wake, utakaponijibu hili kiufasaa ndio nitakuuliza swali zito.
 
Jambo muhimu sasa hivi ni kuhakikisha kwamba nchi haiwi tena mikononi mwa CCM. CCM is a devil making bungalow. Hata aje malaika gani, madamu atapitia CCM tutaliwa. Najua mazoea yana taabu, lakini lazima watanzania tudhamiria kuachana na CCM once and for all.
 
Hesabu post zako kwenye thread hii na za wachangiaji wengine utapata jibu. labda tu unieleze kile alichokificha Mwakyembe kwenye kamati teule ya Bunge kuchunguza Kashfa ya Richmond ni kipi? na kwa maslahi ya nani? na je tukimpa huo urais kwa mapenzi yako ataacha kuwaficha mambo watanzania? kumbuka ile kamati iliundwa kwa kutumia kodi zetu Watanzani na walisafiri mpaka Marekani kwa lengo moja tu, kuupata ukweli, sasa je inakuwaje baada ya kuupata ukweli Mwakyembe aufiche ukweli wote huku akijuwa ametumi pesa za wanukajasho kwa kutafuta ukweli?
hebu jibu swali hili dogo ndio nikuulize swali zito, mimi uwa namuuliza mtu kutokana na upeo wake, utakaponijibu hili kiufasaa ndio nitakuuliza swali zito.

Crap, anti chama fulani. Nimehesabu theads na ninaongeza nyingine, kwani hii JF ni yako wewe.
 
Mimi nimesema nakubaliana na wewe kabisa, kama chama fulani hakifa basi hakifai, Lakini kumbuka hata Dr Slaa alitoka CCM baada ya ushawishi wa wananchi. Hapa najaribu kuidentfy a possible clean candidate at that time 2015. Akishajigundua akili kichwani mwake. (Mr. Mkumbo you are right)
 
Crap, anti chama fulani. Nimehesabu theads na ninaongeza nyingine, kwani hii JF ni yako wewe.

Utoto unakusumbuwa na hapo kwenye RED fanya editing kwanza, halafu unijibu swali nililokuuliza kuhusu kamati teule ya bunge aliyoiongozwa MTUKUFU MWAKYEMBE. ni hayo tu mkuu usirukeruke kukwepa maswali ya msingi.
 
Naklushukuru kwa spelling correction. Mwakyembe hakuficha report, report iliwakilishwa kwa aliye mtuma, sasa kama ilichakachuliwa, atafanya nini. Yeye sio Mkuu kwa sasa. Omba report labda utapata nakala. angalia hata Wabunge wa upinzania wanavyobanwa, wafanye nini, Kisu ikishike mpini sio makali. Ilana nakuomba uje na mapendekezo badala ya kuiga tu lugha za "utoto", Hujui umri wangu. Heshima ni kitu cha bure.

Riport ya Mwakyembe Ilitikisa nchi na hata kusaidia kambi ya upinzani kufumbua wananci macho. Huyu anafaa mkuu (Mzee).
 
Narudia tena kauli yangu, ni kwamba utoto unakusumbuwa, sina haja ya kukuona kwa macho, maandishi yako tayari yanaonesha hata umri wako, hivi ni nani aliesema bungeni kwamba tulificha mambo mengine kwenye ripoti yetu ili kuinusuru serikali isianguke? dogo ukumbuke hapa sio FACEBOOK, au unataka tukuwekee na Hansard ya bunge na video clip yake wakati Mtukufu Mwakyembe anaongea hayo?
 
Alikuwa anasoma riport ya kamati, iliyochujwa na mwenye kamati. Ripoti haikuwa ya mwakyembe. Ulitaka afanye nini?

Thank you for your insults. I have started to admire your arguments.

There has never been a report that has shaken the country like that one. tell me one

Mwakyembe anafaa. hata ndani ya CDM
 
Alikuwa anasoma riport ya kamati, iliyochujwa na mwenye kamati. Ripoti haikuwa ya mwakyembe. Ulitaka afanye nini?

Thank you for your insults. I have started to admire your arguments.

There has never been a report that has shaken the country like that one. tell me one

Dawa yako ni kukuwekea hapa hansard ya bunge na video clip maana unataka kuwapotezea watu muda. hapa watu tuna library hatuongei vitu vya kusadikika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom