Mheshimiwa Mwakyembe Jiandae Kuchukua Nchi

Mheshimiwa Mwakyembe Jiandae Kuchukua Nchi

Alikuwa anasoma riport ya kamati, iliyochujwa na mwenye kamati. Ripoti haikuwa ya mwakyembe. Ulitaka afanye nini?

Thank you for your insults. I have started to admire your arguments.

There has never been a report that has shaken the country like that one. tell me one

Dawa yako ni kukuwekea hapa hansard ya bunge na video clip maana unataka kuwapotezea watu muda. hapa watu tuna library hatuongei vitu vya kusadikika.
Bring us that hansard so that we see the wisdom of Dr. Mwakyembe, Kwani na wewe ni Dk au Mr. Hii ni enzi ya Ma Dk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom