Mheshimiwa Mwakiembe ingilia kati Reli imengolewa na Mkandarasi

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,028
2,553
Mkandarasi anaejenga barabara eneo la korogwe ameamua kwa makusidi kabisa kungoa reli inayokatiza katikati ya barabara na kufunika kabisa eneo husika kwa barabara ya lami.Tunakuomba jembe letu mheshimiwa Mwakiembe utatue hili tatizo haraka iwezekanavyo kwani dunia kote usafiri wa reli ni wa muhimu kiuchumi kuliko hata hiyo lami wanayoweka .
 
Back
Top Bottom