Mheshimiwa Kingwangala leo ulitokelezea msibani

Mheshimiwa Kingwangala leo ulitokelezea msibani

Huyu mbibi anamchimba Hamis Gabriel na suti zake jamani,siku hizi yuko maliasili ndio maana ingawa hakawii kutipika ila yuko poa siku hizi.Bashi yeye ujana si unajua koroville ni ngumu kupata jeans mpasuo wacha ajibwede na ujana maana kazi na dawa eti.Kiruuu
Mleta mada,kumbuka huyo mtu ana mke na familia...
 
Kuna siku Kingwa alimkaribisha miss Tanzania ofisini kwake. Mheshimiwa alipiga kitu design
1092989
 
Kajaza mapete kwenye vidole kama hirizi za kichawi! Anyway, it doesn't matter!
 
Back
Top Bottom