Wenye busara wako busy Na kutafakari namna ya kuboresha maisha ya watu wake, Fid Q a.k.a Faru John akili yake yote iko kwenye kubomoa majengo ya waliomnyima kura, kukamata wapinzani Na kuwafungulia kesi za ajabu ajabu Na kuziamuru mahakama ziwanyime dhamana.
Maamuzi yake ya hovyo yamepelekea ndege zetu tatu kukamatwa Canada.
Kwenye uongozi wake raia kupigwa risasi ni kitu cha kawaida KABISA.
Watu kutekwa na kupotezwa ni common thing.
Kuuliwa na kutupwa Coco Beach ni kawaida sana.
Kununua wapinzani ndio ilani mpya ya chama chake.
Huyu jamaa ndiye tuliambiwa ana midudezzzzzz kiunoni Na mikononi.
Hapa ni uwanja wa ndege Mwanza. Maneno ya wanakwaya hao ni makali na inaonyesha yalimgusa mheshimiwa Rais.
Swali ukilinganisha na hali ya sasa ya kiamani na reaction ya mtukufu baada ya maneno "cheo ni dhamana hakuna anayedhaliwa nacho...." Jee alivutiwa na maneno yale au au aliona kama anaimbwa yeye?
Huyu katoka kwa shetani. Hujui kuna manabii feki tena waltabiriwa kwenye vitabu vya maandiko watakatifu?JPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU
Mkuu kuna jumbe nyingi lkn watawala wetu huwa wanaziba masikio.
Kaka umeandika utumbo, halafu uhame kwenu umekua mkubwa sasa.....JPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU
Nitumie huo wimbo mkuu kwa WhatsAppNahisi hawa wana kwaya walishukiwa na roho mtakatifu mpaka kumchagulia wimbo huu, naamini alielewa ndo maana aliwahi kujiunga na kuimba nao kwa sababu ilionyesha wanampoint yeye moja kwa moja, nikiboreka uwa naiangalia hii video na kumshukuru Mungu kwa ajili ya wanakwaya hawa.
haweziAkiacha kufuatilia shilawadu labda, anaweza akaelewa maneno mazito kama hayo
bana na hali yakoPlz mkuu kama unaweza kutuwekea hii vdeo in downloadable form itapendeza
Wewe Usitupotezee maboyaHuu ujumbe murua sana.
cc; Mwigulu Nchemba, YEHODAYA Wakudadavuwa (ingawa huna impact yeyote zaidi ya kuwa kiburudisho), jingalao, MOTOCHINI

JPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU