ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Jina kamili na namba ya simu? Bk 7JPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU
Jina kamili na namba ya simu? Bk 7JPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU
Bado hujakua wewe. Unakula kwa shikamoo, unagombania rimoti ya Startimes na dada zako. Utaona nini.? Utachambua nini.? Bado unavaa milegezo eeh!! Ukifika kulala unakesha istagram.JPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU
naamini alielewa ndo maana aliwahi kujiunga na kuimba nao kwa sababu ilionyesha wanampoint yeye moja kwa moja
HahaaaRobo ya baba wa Taifa? Kwa uwezo upi jamani.!! Unalinganisha sofa na kigoda.
Huyo kuku aliyekatwa kichwaAkili yako haijapishana sana na Kuku aliye mahututi kwa kuumwa kideri..
Idiot.
sengeyJPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU
Hapa ni uwanja wa ndege Mwanza. Maneno ya wanakwaya hao ni makali na inaonyesha yalimgusa mheshimiwa Rais.
Swali ukilinganisha na hali ya sasa ya kiamani na reaction ya mtukufu baada ya maneno "cheo ni dhamana hakuna anayedhaliwa nacho...." Jee alivutiwa na maneno yale au au aliona kama anaimbwa yeye?
Kuna kitu kama Mme note ni kuwa sura za wote wapambe wake wimbo huo uliwagusa na wakakunja USO huku wakishangaa bosi anavyochekeleamimi nimeona bodyguard wake ameshika briefcase hivi si ndio kama lile la trump lenye batani ya kuactivate mabalaa!?
MUNGU usimpe kazi za kijinga wewe!JPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU
Kuandika tu kiswahili kimekushinda VIP kujua nini maana ya democrasia??JPM NI SIMBA
ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS MWENYEHELIMA NA BUSARA KUTOKA KWAKO MWENYEZI MUNGU
Ndio njia sahihi ya kumuangalia mtu yeyote. Usimachie shetani ndie akuongozeKwa nini ukae chini na kumuangalia muheshimiwa rais kiimani!! Hayo anayajua yeye kama unavyojijua wewe hapo ndani mwako