kimberlite
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 323
- 211
PHD holder unatafuta kazi JF?
Husna Babe, miss youulipaswa upande madaraja hayo ya kielimu ukiwa kazini, mfano wakati wa diploma, then ukajiendeleza huku ukiwa kazini, mwisho wa siku PHD + work experience (sio internships) + connections ulizo make ukiwa kazini ndio zitakupa matunda ya kuwa na PHD. unless hukuwa na mentor....ww ulijua kusoma tu. Media studies in real life vyeti havina dili au degree au PHD, ni experience na jina.
Husna nina neno naweMy official ushauri: join job forums za taasisi kubwa kubwa kama vile balozi za nchi na mashirika ya UN, hakikisha makaratasi yako na CV vipo ready, then uwe unaamka na kusbmit tu, baada ya wiki 2 au mwezi kuna mtu atakuona, utaitwa, then kazi. Ungekuwa una diploma ningekushauri ushinde Zoom Tanzania au Brighter monday.
Unataka kunitongoza wakati huna kazi lol?!!Husna nina neno nawe
Kazi wanafanya vijana, mpaka leo hii mm niwe nafanya/kutafuta kazi. Mm sihitaji ata kuamka kitandani ili pesa iingie. I can sleep all day long n still u will meet at the bank.Unataka kunitongoza wakati huna kazi lol?!!
haya nimefungua pm...niambieKazi wanafanya vijana, mpaka leo hii mm niwe nafanya/kutafuta kazi. Mm sihitaji ata kuamka kitandani ili pesa iingie. I can sleep all day long n still u will meet at the bank.
Husna nina jambo nawe, sio mtongozo bali NENO, nikuambie
Tehtehteh thanks, hutojutia gorgeous by the way this is my viewhaya nimefungua pm...niambie
Bila shaka una mgao wa makinikia mwehTehtehteh thanks, hutojutia gorgeous by the way this is my viewView attachment 563902
weka picha yako sio za kugoogle...lady boss sipendi watu fakeTehtehteh thanks, hutojutia gorgeous by the way this is my viewView attachment 563902