Mhenga nimehitimu PhD in Media Studies, mwenye connection ya ajira tafadhali

luhilaseko

Member
Jul 1, 2017
24
65
Wana familia wa JF, Amani iwe kwenu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni Mhenga mwenye umri wa miaka 36. Nimerudi nchini wiki mbili zilizopita baada ya kumaliza masomo yangu ya Shahada ya Uzamivu (PhD in Media Studies) katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda. Na degree yangu ya kwanza ya Mass Communication niliisoma hapohapo makerere University wakati degree ya pili (Masters) niliisoma hapa Tanzania.

Wakati nikisubiria Graduation itakayofanyika mwezi February 2018, na kwa kuwa wahenga wenzangu waliwahi kunena kwamba MFICHA UCHI HAZAI na wengine wakanena kwamba BIASHARA MATANGAZO basi nami naja mbele yenu kujinadi kwamba natafuta kazi katika field husika. Uzoefu na uelewa wa field hiyo ninao mkubwa sana.
Ijapokuwa lengo langu kubwa ni kuja kujiajiri mimi mwenyewe hapo baadaye kidogo, kwa sasa nimeona ni vema nitafute sehemu ya kuajiriwa wakati nasuka mipango ya kuja kujiajiri hapo baadaye.

Hivyo wakati nikikimbizana na bahasha kutafuta ajira, nakuja kwenu kuomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira asisite kunijulisha kwa namba 0714 159 283. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote na katika mazingira yoyote maana mimi ni mpambanaji.
ANGALIZO ni kwamba PhD yangu isikutishe ukadhani kwamba nitahitaji mshahara mkubwa HAPANA. Nipo tayari kufanya kazi kwa mshahara wa kawaida tu maana toka nimerudi nchini nimekuwa iddle kiasi kwamba natamani heri ningerudi chuoni

Natanguliza shukrani
 
JPM anapenda sana PHD holders. Anza kwanza kwa kununua kadi ya CCM then pita mitaa ya Lumumba

On a serious note, PhD in "Media Studies" unafaa kwenye media industry. Kwa kuanzia unaweza kwenda vyuoni (TSJ, UDSM etc) na uonyeshe interest yako hata ya kupiga vipindi part time. Kila la kheri ndugu yetu.
 
Wana familia wa JF, Amani iwe kwenu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni Mhenga mwenye umri wa miaka 36. Nimerudi nchini wiki mbili zilizopita baada ya kumaliza masomo yangu ya Shahada ya Uzamivu (PhD in Media Studies) katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda. Na degree yangu ya kwanza ya Mass Communication niliisoma hapohapo makerere University wakati degree ya pili (Masters) niliisoma hapa Tanzania.

Wakati nikisubiria Graduation itakayofanyika mwezi February 2018, na kwa kuwa wahenga wenzangu waliwahi kunena kwamba MFICHA UCHI HAZAI na wengine wakanena kwamba BIASHARA MATANGAZO basi nami naja mbele yenu kujinadi kwamba natafuta kazi katika field husika. Uzoefu na uelewa wa field hiyo ninao mkubwa sana.
Ijapokuwa lengo langu kubwa ni kuja kujiajiri mimi mwenyewe hapo baadaye kidogo, kwa sasa nimeona ni vema nitafute sehemu ya kuajiriwa wakati nasuka mipango ya kuja kujiajiri hapo baadaye.

Hivyo wakati nikikimbizana na bahasha kutafuta ajira, nakuja kwenu kuomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira asisite kunijulisha kwa namba 0714 159 283. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote na katika mazingira yoyote maana mimi ni mpambanaji.
ANGALIZO ni kwamba PhD yangu isikutishe ukadhani kwamba nitahitaji mshahara mkubwa HAPANA. Nipo tayari kufanya kazi kwa mshahara wa kawaida tu maana toka nimerudi nchini nimekuwa iddle kiasi kwamba natamani heri ningerudi chuoni

Natanguliza shukrani
Mkuu ulisoma box 2 songea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anzisha media consultancy firm
 
Braza unashindwa hata kutengeneza online tv au website? pHD holda unalia na ajira? very shame.
 
Mie nakuonea wivu kwa kiwango cha elimu ulichofikia ila nakuonea huruma tena kwa kuja kuomba ajiri humu maana nilidhan kazi ya msomi yeyote ni kutumia elimu yake kupambana na changamoto zinazomzunguuka
 
PhD hewa hili ni jipu elimu kubwa maarifa madogo. Labda useme kwa nin uloamua kusoma sana...nani kakulipia ada? Unaabisha PhD holders mkuu
 
Wana familia wa JF, Amani iwe kwenu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni Mhenga mwenye umri wa miaka 36. Nimerudi nchini wiki mbili zilizopita baada ya kumaliza masomo yangu ya Shahada ya Uzamivu (PhD in Media Studies) katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda. Na degree yangu ya kwanza ya Mass Communication niliisoma hapohapo makerere University wakati degree ya pili (Masters) niliisoma hapa Tanzania.

Wakati nikisubiria Graduation itakayofanyika mwezi February 2018, na kwa kuwa wahenga wenzangu waliwahi kunena kwamba MFICHA UCHI HAZAI na wengine wakanena kwamba BIASHARA MATANGAZO basi nami naja mbele yenu kujinadi kwamba natafuta kazi katika field husika. Uzoefu na uelewa wa field hiyo ninao mkubwa sana.
Ijapokuwa lengo langu kubwa ni kuja kujiajiri mimi mwenyewe hapo baadaye kidogo, kwa sasa nimeona ni vema nitafute sehemu ya kuajiriwa wakati nasuka mipango ya kuja kujiajiri hapo baadaye.

Hivyo wakati nikikimbizana na bahasha kutafuta ajira, nakuja kwenu kuomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira asisite kunijulisha kwa namba 0714 159 283. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote na katika mazingira yoyote maana mimi ni mpambanaji.
ANGALIZO ni kwamba PhD yangu isikutishe ukadhani kwamba nitahitaji mshahara mkubwa HAPANA. Nipo tayari kufanya kazi kwa mshahara wa kawaida tu maana toka nimerudi nchini nimekuwa iddle kiasi kwamba natamani heri ningerudi chuoni

Natanguliza shukrani
Rudi chuoni kafundishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom