Mhenga nimehitimu PhD in Media Studies, mwenye connection ya ajira tafadhali

Mkuu n kweli PhD au zuga 2 inamana kuanzia shahada had uzamivu hujawah fany kazi?! think capacity yako humu kuna wahenga ujue. Yaan ww unasoma 2 bla hata kufany kaz umri wako wote huo unalpiwa ada duh huo sasa uongo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwenzako ana 36 ndio kwanza anatafuta sehemu ya kujitolea so hadi kuja kuajiriwa atakuwa probably na 76
 
Back
Top Bottom