Mhenga nimehitimu PhD in Media Studies, mwenye connection ya ajira tafadhali

PHD unaomba kazi JF? Ndy maana ukosefu wa ajira hautaisha TZ. Badala ya kutengeneza ajira uajiri vijana wa Certificate, Diploma, Degree na Masters na wewe unalilia TGS D.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulipaswa upande madaraja hayo ya kielimu ukiwa kazini, mfano wakati wa diploma, then ukajiendeleza huku ukiwa kazini, mwisho wa siku PHD + work experience (sio internships) + connections ulizo make ukiwa kazini ndio zitakupa matunda ya kuwa na PHD. unless hukuwa na mentor....ww ulijua kusoma tu. Media studies in real life vyeti havina dili au degree au PHD, ni experience na jina.
Ndicho nnachojaribu kukifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuuu nashida na kazi Sana sinakazi mkuuuu nisaidieni ndugu zangu
Sijacheka kwa mazuri sema umenishangaza ulivo mwepes kuamini, mambo za mitandaon most of the time ni asilimia 23 yanakuwa ukweli, bad enough kwa watu wenye fake id.

Usiamini sana hizi mambo mkuu.
 
Wana familia wa JF, Amani iwe kwenu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni Mhenga mwenye umri wa miaka 36. Nimerudi nchini wiki mbili zilizopita baada ya kumaliza masomo yangu ya Shahada ya Uzamivu (PhD in Media Studies) katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda. Na degree yangu ya kwanza ya Mass Communication niliisoma hapohapo makerere University wakati degree ya pili (Masters) niliisoma hapa Tanzania.

Wakati nikisubiria Graduation itakayofanyika mwezi February 2018, na kwa kuwa wahenga wenzangu waliwahi kunena kwamba MFICHA UCHI HAZAI na wengine wakanena kwamba BIASHARA MATANGAZO basi nami naja mbele yenu kujinadi kwamba natafuta kazi katika field husika. Uzoefu na uelewa wa field hiyo ninao mkubwa sana.
Ijapokuwa lengo langu kubwa ni kuja kujiajiri mimi mwenyewe hapo baadaye kidogo, kwa sasa nimeona ni vema nitafute sehemu ya kuajiriwa wakati nasuka mipango ya kuja kujiajiri hapo baadaye.

Hivyo wakati nikikimbizana na bahasha kutafuta ajira, nakuja kwenu kuomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira asisite kunijulisha kwa namba 0714 159 283. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote na katika mazingira yoyote maana mimi ni mpambanaji.
ANGALIZO ni kwamba PhD yangu isikutishe ukadhani kwamba nitahitaji mshahara mkubwa HAPANA. Nipo tayari kufanya kazi kwa mshahara wa kawaida tu maana toka nimerudi nchini nimekuwa iddle kiasi kwamba natamani heri ningerudi chuoni

Natanguliza shukrani
Dr kwa nn usijiajili na ukawaqjili wengine?km umeweza soma mpaka phd siamini utashindwa kuwa mbunifu
 
duh pole mkuu,ishu ya ajira ni ngumu ,sio peke yako,endelea kutafuta ukimtumaini Mungu.................kwa kujenga CV anza kwa kujitolea -volunteering,huku ukiwa unatafuta kazi,itakupa experience,usitishwe na maneno ya humu,lol
Ajitolee na yuko 36 now, kazi atapata uzeeni.
Kusa sana nako duh!!

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Wana familia wa JF, Amani iwe kwenu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni Mhenga mwenye umri wa miaka 36. Nimerudi nchini wiki mbili zilizopita baada ya kumaliza masomo yangu ya Shahada ya Uzamivu (PhD in Media Studies) katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda. Na degree yangu ya kwanza ya Mass Communication niliisoma hapohapo makerere University wakati degree ya pili (Masters) niliisoma hapa Tanzania.

Wakati nikisubiria Graduation itakayofanyika mwezi February 2018, na kwa kuwa wahenga wenzangu waliwahi kunena kwamba MFICHA UCHI HAZAI na wengine wakanena kwamba BIASHARA MATANGAZO basi nami naja mbele yenu kujinadi kwamba natafuta kazi katika field husika. Uzoefu na uelewa wa field hiyo ninao mkubwa sana.
Ijapokuwa lengo langu kubwa ni kuja kujiajiri mimi mwenyewe hapo baadaye kidogo, kwa sasa nimeona ni vema nitafute sehemu ya kuajiriwa wakati nasuka mipango ya kuja kujiajiri hapo baadaye.

Hivyo wakati nikikimbizana na bahasha kutafuta ajira, nakuja kwenu kuomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira asisite kunijulisha kwa namba 0714 159 283. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote na katika mazingira yoyote maana mimi ni mpambanaji.
ANGALIZO ni kwamba PhD yangu isikutishe ukadhani kwamba nitahitaji mshahara mkubwa HAPANA. Nipo tayari kufanya kazi kwa mshahara wa kawaida tu maana toka nimerudi nchini nimekuwa iddle kiasi kwamba natamani heri ningerudi chuoni

Natanguliza shukrani
Mkuu n kweli PhD au zuga 2 inamana kuanzia shahada had uzamivu hujawah fany kazi?! think capacity yako humu kuna wahenga ujue. Yaan ww unasoma 2 bla hata kufany kaz umri wako wote huo unalpiwa ada duh huo sasa uongo

Back
Top Bottom