JOASH MUSSA
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 515
- 199
wasira ni mnafki, yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa chadema, yeye na sitta ni wale wale, wanaangalia maslahi yao kwanza, sio watanzania wameegesha tuisasikitisha kuona mzee kama huyu anakuwa kama hajazaliwa tanzania kana kwamba hajui mauaji yaliofanywa na polisi kule mwembe chai. Pia anakituhumu chama cha democrasia na maendeleo ndo kina sababisha mauaji hayo hajayataja ya mwembe chai kwa sababu ameisahau cuf. Kasahau pia chama chochote cha kisiasa kinachokuwa kinakikaribia chama tawala ndo kinakutana na mikasa ya mauaji ya wafuasi wake kwa umakini tatizo sio chadema bali chama chochote kinacho kikaribia chama tawala kwa maana hiyo tatizo ni chama taw.
Anasema Registraa wa vyama vya siasa ni wa serikali sio wa CCM na maamuzi yake ya kufuta chama hawawezi kuhijiwa mahakamani.
Swali: serikali inatokana na chama gani?
Raisi = Mwenyekiti wa Chanma
Makamu/ Mwawaziri ndio wajumbe wa kamati/halmashauri za chama
Hapo utatenganishaje chama na serikali?
Ameruhusu matusi

Hivi tafsiri nzuri ya kirefusho cha C-C-M- wa wajuaji ni kipi?
TBC?? Kwaani leo ndo siku ya ORIJINO KOMEDI?...
Hana jipya huyo anataka kuisafisha tu ccm