Mhe Vincent J Nyerere bado anakubalika kwa asilimia mia moja.

Kwa kweli wanamusoma walifanya mabadiliko ya kweli kwenye uchaguzi wa 2010 tunakumbuka Musoma Mjini imeongozwa na maccm zidi ya miaka 20 naa lakini hakuna chochote kipya walichokifanya.

Zaidi yakuwa wanakesha bar na kununulia vijana viroba na kujaza matumbo yao na familia zao. wanamusoma wakufanya kosa kumchguwa Mhe Vincent kwa kweli amefanya mengi na tumeyaona kwa mcho yetu na pia hata kutembelea miradi mikubwa ambzo utawala wa maccm yalishindwa kufanya.

Kwanza katika miradi hizo ni wa maji wa kisasa kama ule wa mkoa wa shinyanga pili ni mradi wa ujenzi wa barabara tatu kwa kiwango cha lami barabra ya kwanza ni mwisenge makoko wapili ni buhare kwenda mpaka mwisho wa musoma mjini na ule mradi mkubwa umekuwa wa barabara kuu kutoka makutano kuja mpaka Musoma Mjini tukiacha hayo pia hosipitali ya kwangwa upo kwenye haraki ya kuanza na kwa sasa hivi wanazungusha uzio.

Tunakumbuka katika utawala wa maccm Musoma mjini shule nyingi walijenga bila kiwango Mhe Vincent na team yake nzima ya madiwani wamefanya mabadiliko makubwa sana wamejenga mabaraaa ya kisasa na madarasa mpya na kufunga mfumo wote wa umeme na hata kuweka na jipsam katika madarasa hayo.

Wanafunzi wanao jiunga na form one kwa sasa hawaendi na madwati kama kipindi cha maccm uongozi mzima wa Mhe Vincent umepiga marufuku mchango wa aina yoyote kwa wanafunzi na wazazi mpaka pale tarifa kamili itakapo toka hiyo tu bado wanaccm hawaoni.

Kumbukeni kuwa maccm yameshindwa hata kujiongeza na bado yanamponda Mhe Vincent katika uchaguzi wa 2010 maccm yalitumia zaidi ya mabilioni ya pesa kuonga wapiga kura lakini sisi Chadema tulitumia nguvu ya Umaaa sasa kwa tarifa nikuwa mjipange upya kwa majimbo yanu kwa sababu Chadema tunakuja kwa kasi kubebe zote kwenye uchaguzi wa 2015.
Ni kweli CCm ilishndwa katika mikoa kama vile Musoma na Arusha. Lakini ukifuatilia kwa karibu ni mikoa inayongoza kwa kilimo na uvutaji wa bangi, pia uatengenezaji na uuzaji wa pombe haramu ya gongo.
9k=
lema.jpg
Z
2Q==
Z
 
Ulikuwa una harakia wapi wakati unaandika?Maana umekosea maneno mengi mno. Hariri ikae sawa. Pia wanaosema Vincent amedandia ukoo wana maana gani?Ninachojua ni kuwa Vincent Nyerere ni ukoo mmoja na mwl. Nyerere ambaye ni mwana ccm pekee aliyekufa masikini kama walala hoi wengine.
 
Kwa kweli wanamusoma walifanya mabadiliko ya kweli kwenye uchaguzi wa 2010 tunakumbuka Musoma Mjini imeongozwa na maccm zidi ya miaka 20 naa lakini hakuna chochote kipya walichokifanya.

Zaidi yakuwa wanakesha bar na kununulia vijana viroba na kujaza matumbo yao na familia zao. wanamusoma wakufanya kosa kumchguwa Mhe Vincent kwa kweli amefanya mengi na tumeyaona kwa mcho yetu na pia hata kutembelea miradi mikubwa ambzo utawala wa maccm yalishindwa kufanya.

Kwanza katika miradi hizo ni wa maji wa kisasa kama ule wa mkoa wa shinyanga pili ni mradi wa ujenzi wa barabara tatu kwa kiwango cha lami barabra ya kwanza ni mwisenge makoko wapili ni buhare kwenda mpaka mwisho wa musoma mjini na ule mradi mkubwa umekuwa wa barabara kuu kutoka makutano kuja mpaka Musoma Mjini tukiacha hayo pia hosipitali ya kwangwa upo kwenye haraki ya kuanza na kwa sasa hivi wanazungusha uzio.

Tunakumbuka katika utawala wa maccm Musoma mjini shule nyingi walijenga bila kiwango Mhe Vincent na team yake nzima ya madiwani wamefanya mabadiliko makubwa sana wamejenga mabaraaa ya kisasa na madarasa mpya na kufunga mfumo wote wa umeme na hata kuweka na jipsam katika madarasa hayo.

Wanafunzi wanao jiunga na form one kwa sasa hawaendi na madwati kama kipindi cha maccm uongozi mzima wa Mhe Vincent umepiga marufuku mchango wa aina yoyote kwa wanafunzi na wazazi mpaka pale tarifa kamili itakapo toka hiyo tu bado wanaccm hawaoni.

Kumbukeni kuwa maccm yameshindwa hata kujiongeza na bado yanamponda Mhe Vincent katika uchaguzi wa 2010 maccm yalitumia zaidi ya mabilioni ya pesa kuonga wapiga kura lakini sisi Chadema tulitumia nguvu ya Umaaa sasa kwa tarifa nikuwa mjipange upya kwa majimbo yanu kwa sababu Chadema tunakuja kwa kasi kubebe zote kwenye uchaguzi wa 2015.
kwa mji wa Musoma ulivyo mdogo, kwa idadi kubwa ya madiwani kuwa wa CHADEMA "chedema kushika halmashauri" sidhani hiki ni kipimo tosha kwa Mh.Vincent kusifiwa na kuona kama ameridhika na amekidhi haja ya wana Musoma, bado anachangamoto nyingi, nadhani ulitakiwa kuonyesha quantity -data (japo umejaribu kutaja).
Hapo kwenye red "rangi nyekundu" hio miradi ni kweli ama umekosea kuwasilisha?
1. Maji ya kisasa yapo wapi?
2. wapili ni buhare kwenda mpaka mwisho wa musoma mjini - Musoma Mjini mwisho ni wapi? hii barabara
"japo wewe umeandika - barabra" inatoka Buhare kupitia wapi hadi huko mwisho wa Musoma mjini?
3. Mabaraa ndio nini?
Mwisho unahitaji kuja na uwasilishe mambo ya msingi na maana aliyofanya Mh.Vincent na usikurupuke tu na kuandika hovyohovyo! kwa mimi kwa halmashauri ambayo ni ya CHADEMA nilidhani kwa sasa tungekuwa tunaongelea zahanati kila mtaa, hivi bwawa la kitaji lilishaondoka?
 
Acha ukun...du wewe!. Hospitali ya Kwangwa ni ahadi ya Jakaya Kikwete 2010 pamoja na barabara zote. Baba yake na Vicent fisadi Josephat alishiriki kikamilifu kuhujumu ujenzi wa hospitali ile miaka ya 80 akishirikiana na ndugu yake Kiboko. Ninakushangaa unapotokwa jasho na misuli kumpamba Vicent(mzamia ukoo) eti amewezesha ujenzi wa Kwangwa, puuuuuuuuuu!

usilolijua ni sawa na usiku wa giza, nadhani kitambi kinakuwasha - kwa taarifa yako katika ukoo wa akina Nyerere - hakukuwa na Josephat ambaye ni mwanasiasa na Kiboko unayemtaja pia hakuwa mwanasiasa, na baba yake Vincent hakuwa mwanasiasa,and nadhani katika ukoo wa akina Nyerere - Josephat na Kiboko was masikini wa kutupwa kuliko ndg wengine hata mwl alikuwa tajiri kuwashinda, please njoo kivingine zaidi "taja ufisadi wake" au utanaonekana unaandika kwa majungu
 
kwa mji wa musoma ulivyo mdogo, kwa idadi kubwa ya madiwani kuwa wa chadema "chedema kushika halmashauri" sidhani hiki ni kipimo tosha kwa mh.vincent kusifiwa na kuona kama ameridhika na amekidhi haja ya wana musoma, bado anachangamoto nyingi, nadhani ulitakiwa kuonyesha quantity -data (japo umejaribu kutaja).
Hapo kwenye red "rangi nyekundu" hio miradi ni kweli ama umekosea kuwasilisha?
1. Maji ya kisasa yapo wapi?
2. Wapili ni buhare kwenda mpaka mwisho wa musoma mjini - musoma mjini mwisho ni wapi? Hii barabara
"japo wewe umeandika - barabra" inatoka buhare kupitia wapi hadi huko mwisho wa musoma mjini?
3. Mabaraa ndio nini?
Mwisho unahitaji kuja na uwasilishe mambo ya msingi na maana aliyofanya mh.vincent na usikurupuke tu na kuandika hovyohovyo! Kwa mimi kwa halmashauri ambayo ni ya chadema nilidhani kwa sasa tungekuwa tunaongelea zahanati kila mtaa, hivi bwawa la kitaji lilishaondoka?

huyu mleta uzi amekuwa akijitahidi mara zote kutuwekea humu hata picha zinazoonyesha michakato mbalimbali ya maendeleo ya musoma mjini , na nampongeza sana kwa hili , hoja zake ni endelevu , sasa kama unamsoma leo kwa mara ya kwanza unaweza usgmuelewe vizuri .
 
Ungesema ameweza kusimamia vizuri yeye pamoja na madiwani wa Manispaa ya Musoma kwani wanaotoa pesa ni serikali ya MaCCM

Ccm haina pesa za maendeleo ingekuwa hivyo majimbo mengi yangekuwa na maendeleo sana. Wao wanachota kodi zetu na kuhamishia kwenye matumbo yao. Kukiwa na mbunge na madiwani makini hizo kodi zinarudi kwa wananchi. Umeona jimbo la mbeya mjini lilivyo sasa hivi? Kuna fedha za miradi zinakuwepo ila watu huwa wanazikalia na kuzila.
 
Acha ukun...du wewe!. Hospitali ya Kwangwa ni ahadi ya Jakaya Kikwete 2010 pamoja na barabara zote. Baba yake na Vicent fisadi Josephat alishiriki kikamilifu kuhujumu ujenzi wa hospitali ile miaka ya 80 akishirikiana na ndugu yake Kiboko. Ninakushangaa unapotokwa jasho na misuli kumpamba Vicent(mzamia ukoo) eti amewezesha ujenzi wa Kwangwa, puuuuuuuuuu!
kwani jakaya kikwete hakutoa ahadi kule bagamoyo mbona bado wana madarasa yaliyoezekwa kwa makuti?
CC:FaizaFoxy, Ritz, ifweero, utaifakwanza
 
Ungesema ameweza kusimamia vizuri yeye pamoja na madiwani wa Manispaa ya Musoma kwani wanaotoa pesa ni serikali ya MaCCM
Mkuu inabidi ukapitie upya namna ya serikali za mitaa na serikali kuu zinavyofanya kazi, hizo fedha ni za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tz, hii kauli ya serikali ya ccm, sijui waziri akiwa anasoma taarifa bungeni wizara yangu hizo zote si kauli rasmi. Hata kama serikali ingekuwa imeundwa na CUF bado huku chini kwenye ngazi ya halmashauri kama madiwani wataamua hata kama watakuwa ni wa CCM ela itatoka tu kwa kuwa hicho kinachukuliwa kama wananchi wamekubali. Pia kumbuka mkoa wa Mara una watu ambao wana maamuzi kama wakiamua hata kama wana itikadi tofauti
 
kwa mji wa Musoma ulivyo mdogo, kwa idadi kubwa ya madiwani kuwa wa CHADEMA "chedema kushika halmashauri" sidhani hiki ni kipimo tosha kwa Mh.Vincent kusifiwa na kuona kama ameridhika na amekidhi haja ya wana Musoma, bado anachangamoto nyingi, nadhani ulitakiwa kuonyesha quantity -data (japo umejaribu kutaja).
Hapo kwenye red "rangi nyekundu" hio miradi ni kweli ama umekosea kuwasilisha?
1. Maji ya kisasa yapo wapi?
2. wapili ni buhare kwenda mpaka mwisho wa musoma mjini - Musoma Mjini mwisho ni wapi? hii barabara
"japo wewe umeandika - barabra" inatoka Buhare kupitia wapi hadi huko mwisho wa Musoma mjini?
3. Mabaraa ndio nini?
Mwisho unahitaji kuja na uwasilishe mambo ya msingi na maana aliyofanya Mh.Vincent na usikurupuke tu na kuandika hovyohovyo! kwa mimi kwa halmashauri ambayo ni ya CHADEMA nilidhani kwa sasa tungekuwa tunaongelea zahanati kila mtaa, hivi bwawa la kitaji lilishaondoka?

Nimependa ulivyo-balance comment zako kwa mleta uzi na wa chini, upo neutral unachoangalia ni maendeleo zaidi

usilolijua ni sawa na usiku wa giza, nadhani kitambi kinakuwasha - kwa taarifa yako katika ukoo wa akina Nyerere - hakukuwa na Josephat ambaye ni mwanasiasa na Kiboko unayemtaja pia hakuwa mwanasiasa, na baba yake Vincent hakuwa mwanasiasa,and nadhani katika ukoo wa akina Nyerere - Josephat na Kiboko was masikini wa kutupwa kuliko ndg wengine hata mwl alikuwa tajiri kuwashinda, please njoo kivingine zaidi "taja ufisadi wake" au utanaonekana unaandika kwa majungu
 
Ccm haina pesa za maendeleo ingekuwa hivyo majimbo mengi yangekuwa na maendeleo sana. Wao wanachota kodi zetu na kuhamishia kwenye matumbo yao. Kukiwa na mbunge na madiwani makini hizo kodi zinarudi kwa wananchi. Umeona jimbo la mbeya mjini lilivyo sasa hivi? Kuna fedha za miradi zinakuwepo ila watu huwa wanazikalia na kuzila.

Serikali ya chama cha mapinduzi badala ya serikali ya jamhuri ya muungano wa tz na ndio maana kuna wananchi kama wanashindwa kutofautisha kati ya ccm na serikali, CCM kuunda serikali haina maana kwamba fedha ni zao na serikali ni ya ccm
 
Ni kweli CCm ilishndwa katika mikoa kama vile Musoma na Arusha. Lakini ukifuatilia kwa karibu ni mikoa inayongoza kwa kilimo na uvutaji wa bangi, pia uatengenezaji na uuzaji wa pombe haramu ya gongo.

9k=
lema.jpg
Z
2Q==
Z
Hayo ni matatizo tangu TANU yalishajengeka siku nyingi hivyo taratibu yatazidi kuondoka kwa kujenga njia bora za kujiongezea kipato
 
kwa hiyo Nyerere na TANU ndiye msingi wa matatizo. Waliofuatia walisimamisha tu jengo kwenye msingi wenye nyufa na uliojengwa kwenye dimbwi la maji ya chumvi.
Ednyerere.jpg
 
nimekusoma mkuu, ila nilikuwa nampa changamoto katika uwasilishaji wake, afahamu kabisa jimbo la Musoma si kisiwa inawezekana linanyemelewa hivyo anatakiwa kutulia na kuwasilisha kitu kilicho haririwa na asikurupuke as if ameulizwa mbona leo haujapost thread? na yeye anakuwa kama anatunga tunga tu, people may take advantage
huyu mleta uzi amekuwa akijitahidi mara zote kutuwekea humu hata picha zinazoonyesha michakato mbalimbali ya maendeleo ya musoma mjini , na nampongeza sana kwa hili , hoja zake ni endelevu , sasa kama unamsoma leo kwa mara ya kwanza unaweza usgmuelewe vizuri .
 
Wadanganye watoto wa dogo wasioijua Musoma muulize Vicent Nyerere ni miongoni mwa wabunge ambao hata jua likabadilika likatoka kusini kuelekea Kaskazini hawezi shinda ubunge Musoma!

Musiwe wanafiki hata yeye mwenyewe anajua muulize Yule kijana aliyempigia debe na kupata ubunge na kumtelekeza anamjua? Ahadi zote hata Moja hiyo ya maji soma Ilani ya CCM utaelewa kila kitu!

Yeye ahadi zake ni biogas na kiwanda cha biskuti hadi Leo patupu! Ahame nyumba ya mama yake maana hata Kibanda Hana na uchaguzi huo tayari na HARUDI
 
Ukitaka kupata ukweli kuhusu Musoma muulize Nyamuhanga aliyekuwa campaign Manager wake!

Huyo awezi kupata ubunge wadanganye wasiojua ukweli!
 
Yani wajinga hujisifu katika miradi yote hio ulimuona vicent akiweka jiwe la ufinguzi?kama sio utamsifia vip mtu ambae hajaweka jiwe la ufunguzi wa mradi? Unamtetea huwa anakupa posho nini ? Subiri wananchi wamsifie sio mpambe
 
Back
Top Bottom