Mhe Vincent J Nyerere bado anakubalika kwa asilimia mia moja.

Lai Otieno

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
311
0
Kwa kweli wanamusoma walifanya mabadiliko ya kweli kwenye uchaguzi wa 2010 tunakumbuka Musoma Mjini imeongozwa na maccm zidi ya miaka 20 naa lakini hakuna chochote kipya walichokifanya.

Zaidi yakuwa wanakesha bar na kununulia vijana viroba na kujaza matumbo yao na familia zao. wanamusoma wakufanya kosa kumchguwa Mhe Vincent kwa kweli amefanya mengi na tumeyaona kwa mcho yetu na pia hata kutembelea miradi mikubwa ambzo utawala wa maccm yalishindwa kufanya.

Kwanza katika miradi hizo ni wa maji wa kisasa kama ule wa mkoa wa shinyanga pili ni mradi wa ujenzi wa barabara tatu kwa kiwango cha lami barabra ya kwanza ni mwisenge makoko wapili ni buhare kwenda mpaka mwisho wa musoma mjini na ule mradi mkubwa umekuwa wa barabara kuu kutoka makutano kuja mpaka Musoma Mjini tukiacha hayo pia hosipitali ya kwangwa upo kwenye haraki ya kuanza na kwa sasa hivi wanazungusha uzio.

Tunakumbuka katika utawala wa maccm Musoma mjini shule nyingi walijenga bila kiwango Mhe Vincent na team yake nzima ya madiwani wamefanya mabadiliko makubwa sana wamejenga mabaraaa ya kisasa na madarasa mpya na kufunga mfumo wote wa umeme na hata kuweka na jipsam katika madarasa hayo.

Wanafunzi wanao jiunga na form one kwa sasa hawaendi na madwati kama kipindi cha maccm uongozi mzima wa Mhe Vincent umepiga marufuku mchango wa aina yoyote kwa wanafunzi na wazazi mpaka pale tarifa kamili itakapo toka hiyo tu bado wanaccm hawaoni.

Kumbukeni kuwa maccm yameshindwa hata kujiongeza na bado yanamponda Mhe Vincent katika uchaguzi wa 2010 maccm yalitumia zaidi ya mabilioni ya pesa kuonga wapiga kura lakini sisi Chadema tulitumia nguvu ya Umaaa sasa kwa tarifa nikuwa mjipange upya kwa majimbo yanu kwa sababu Chadema tunakuja kwa kasi kubebe zote kwenye uchaguzi wa 2015.
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,502
2,000
Ungesema ameweza kusimamia vizuri yeye pamoja na madiwani wa Manispaa ya Musoma kwani wanaotoa pesa ni serikali ya MaCCM
 
Lai Otieno

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
311
0
Ungesema ameweza kusimamia vizuri yeye pamoja na madiwani wa Manispaa ya Musoma kwani wanaotoa pesa ni serikali ya MaCCM

umelewa na viroba vipi?hizo pesa ni zawalipa kodi wote tena wanainchi wa kipato cha chini ccm wanakiwanda cha pesa kabla huja toa comment fikiria kwanza wachakutumia viroba.
 
mnyepe

JF-Expert Member
Dec 1, 2008
1,914
1,225
Tutamuona kwenye uchaguzi ili tujue anakubalika kweli kwa wananchi
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,161
2,000
tunawashukuru sana wana MUSOMA mmechagua mbunge kweli ! Sisi huku KONDOA Tumechagua MZIGO .
 
kitambiheshima

JF-Expert Member
May 27, 2013
452
0
Acha ukun...du wewe!. Hospitali ya Kwangwa ni ahadi ya Jakaya Kikwete 2010 pamoja na barabara zote. Baba yake na Vicent fisadi Josephat alishiriki kikamilifu kuhujumu ujenzi wa hospitali ile miaka ya 80 akishirikiana na ndugu yake Kiboko. Ninakushangaa unapotokwa jasho na misuli kumpamba Vicent(mzamia ukoo) eti amewezesha ujenzi wa Kwangwa, puuuuuuuuuu!
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,161
2,000
kwa kweli wanamusoma walifanya mabadiliko ya kweli kwenye uchaguzi wa 2010 tunakumbuka musoma mjini imeongozwa na maccm zidi ya miaka 20 naa lakini hakuna chochote kipya walichokifanya.

Zaidi yakuwa wanakesha bar na kununulia vijana viroba na kujaza matumbo yao na familia zao. Wanamusoma wakufanya kosa kumchguwa mhe vincent kwa kweli amefanya mengi na tumeyaona kwa mcho yetu na pia hata kutembelea miradi mikubwa ambzo utawala wa maccm yalishindwa kufanya.

Kwanza katika miradi hizo ni wa maji wa kisasa kama ule wa mkoa wa shinyanga pili ni mradi wa ujenzi wa barabara tatu kwa kiwango cha lami barabra ya kwanza ni mwisenge makoko wapili ni buhare kwenda mpaka mwisho wa musoma mjini na ule mradi mkubwa umekuwa wa barabara kuu kutoka makutano kuja mpaka musoma mjini tukiacha hayo pia hosipitali ya kwangwa upo kwenye haraki ya kuanza na kwa sasa hivi wanazungusha uzio.

Tunakumbuka katika utawala wa maccm musoma mjini shule nyingi walijenga bila kiwango mhe vincent na team yake nzima ya madiwani wamefanya mabadiliko makubwa sana wamejenga mabaraaa ya kisasa na madarasa mpya na kufunga mfumo wote wa umeme na hata kuweka na jipsam katika madarasa hayo.

Wanafunzi wanao jiunga na form one kwa sasa hawaendi na madwati kama kipindi cha maccm uongozi mzima wa mhe vincent umepiga marufuku mchango wa aina yoyote kwa wanafunzi na wazazi mpaka pale tarifa kamili itakapo toka hiyo tu bado wanaccm hawaoni.

Kumbukeni kuwa maccm yameshindwa hata kujiongeza na bado yanamponda mhe vincent katika uchaguzi wa 2010 maccm yalitumia zaidi ya mabilioni ya pesa kuonga wapiga kura lakini sisi chadema tulitumia nguvu ya umaaa sasa kwa tarifa nikuwa mjipange upya kwa majimbo yanu kwa sababu chadema tunakuja kwa kasi kubebe zote kwenye uchaguzi wa 2015.

kamanda , musoma mjini mmebahatika sana kupata mbunge makini namna hiyo , hakikisheni mnamrejeshea kiti chake 2015 , pamoja na hiyo timu yake ya maendeleo ( madiwani )
 
mwenezi

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
506
195
jamaa anatimiza majukumu yake ipasavyo.hata hivyo wakazi wa musoma wanayo haki ya kujivunia mafanikio haya yaliyoletwa na cdm,kwani walifanya kazi kubwa kuhakikisha huyu bw.yerere anapata ubunge.nikikumbuka kazi iliyofanywa na watu wa musoma huwa naishia kuamini kitu kimoja tu,kwamba pesa si kila kitu.kaka yake mathayo (James) alibeba mfuko wa pesa akiwa na mainya kwenda kuwahonga akina mama wa buhare, matokeo yake wakamfukuza na pesa zake.wakiwa njiani wanarudi mainya alikuwa anaomba gari ligonge mti ili James afe yeye achukue fuko la pesa.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,161
2,000
Acha ukun...du wewe!. Hospitali ya Kwangwa ni ahadi ya Jakaya Kikwete 2010 pamoja na barabara zote. Baba yake na Vicent fisadi Josephat alishiriki kikamilifu kuhujumu ujenzi wa hospitali ile miaka ya 80 akishirikiana na ndugu yake Kiboko. Ninakushangaa unapotokwa jasho na misuli kumpamba Vicent(mzamia ukoo) eti amewezesha ujenzi wa Kwangwa, puuuuuuuuuu!

kama ni ahadi KIKWETE ALIAHIDI nchi nzima , kwanini za MUSOMA MJINI tu ndiyo zimekamilika ? Nachukua nafasi hii kumpongeza rasmi MH VICENT NYERERE NA WAHESHIMIWA MADIWANI WOTE WA MUSOMA MJINI KWA KUHARAKISHA MAENDELEO YA WANANCHI .
 
mwenezi

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
506
195
Acha ukun...du wewe!. Hospitali ya Kwangwa ni ahadi ya Jakaya Kikwete 2010 pamoja na barabara zote. Baba yake na Vicent fisadi Josephat alishiriki kikamilifu kuhujumu ujenzi wa hospitali ile miaka ya 80 akishirikiana na ndugu yake Kiboko. Ninakushangaa unapotokwa jasho na misuli kumpamba Vicent(mzamia ukoo) eti amewezesha ujenzi wa Kwangwa, puuuuuuuuuu!
mda wote serikali ya ccm ilikuwa wapi kutokamilisha mradi huu ulioanzishwa miaka ya mwanzoni ya 80?mwanga alikuwa mbunge (ccm) kaacha mradi huu,magoti alikuwa mb(ccm) kauacha bila kukamilika,Ibrahim wakanga alikuwa mb (ccm)naye kauacha akaja mathayo(ccm) naye kauacha bila hata kuusogeza kwa hatua moja.salsa kaja mbunge mwingine kutoka chama kingine, hatua za kuendeleza mradi zinachukuliwa,alafu wewe unatutaka tuamini no kazi ya ccm.kwani ccm ninini?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,161
2,000
jamaa anatimiza majukumu yake ipasavyo.hata hivyo wakazi wa musoma wanayo haki ya kujivunia mafanikio haya yaliyoletwa na cdm,kwani walifanya kazi kubwa kuhakikisha huyu bw.yerere anapata ubunge.nikikumbuka kazi iliyofanywa na watu wa musoma huwa naishia kuamini kitu kimoja tu,kwamba pesa si kila kitu.kaka yake mathayo (James) alibeba mfuko wa pesa akiwa na mainya kwenda kuwahonga akina mama wa buhare, matokeo yake wakamfukuza na pesa zake.wakiwa njiani wanarudi mainya alikuwa anaomba gari ligonge mti ili James afe yeye achukue fuko la pesa.

nguvu ya umma ni kiboko .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom