Mhe Vincent J Nyerere bado anakubalika kwa asilimia mia moja.

JF ni bora mukawaambia wabunge ukweli ili wajirekebishe maana mukiwapaka mafuta kwa upanga wataumia!

Huyu jamaa harudi kamwe huo ndio ukweli
 
kwa hiyo Nyerere na TANU ndiye msingi wa matatizo. Waliofuatia walisimamisha tu jengo kwenye msingi wenye nyufa na uliojengwa kwenye dimbwi la maji ya chumvi.
Ednyerere.jpg
Matatizo yaliyopo Tanzania tukiyaangalia kisiasa hatuwezi kuyaondoa nilijibu vile kwa kuwa wengi walionyesha vyama ndio suruhisho kumbe kuna interventions nyingi zinatakiwa kufanyika kabla ya kusema chama flani ndio kimesababisha na chama flani ndio kimeondoa tatizo, kwa maana nyingine matatizo haya yalianza tangu enzi hiyo TANU ilitumika tu kama kiwakilishi kama ilivyoeleka kusema haya mambo ni ya mwaka 47. Issue ya gongo kwa mfano kama mtu unajichanganya maeneo mbalimbali ya nchi na kupitapita vijijini utagundua kwamba Gongo kwenye makaratasi ya serikali ni haramu lakini ukitia timu kwenye maeneo unakuta viongozi / wananchi ambao wote wanaitikadi tofauti wameihalalisha kwa kuwa hata sehemu inapopikiwa wanapajua na in most cases jirani na vijito
 
Back
Top Bottom