Mhe.Tundu Lissu ndani ITV

Mtikisiko na uimara ni kauli ambazo hazipingani wewe mbulula !

Kitu kinaweza kikawa kimetikiswa lakini bado ni imara ! Hiyo iko wazi sana kasoro kwako wewe mbulula na maCCM wengine!

Angesema chama kimekuwa dhaifu hapo ungeweza kusema amepingana na Dr. Slaa, lakini kusema kimetikisika haina maana kwamba kikishatikisika tu uimara wake unaondoka !

Mtikisiko unaweza kusababisha madhara ambayo hatimaye yanakifanya Chama kinakuwa dhaifu (au kinafufa) na hivyo kinakuwa si imara tena.....Lakini mtikikisiko unaweza ukatokea lakini usilete madhara ya kusababisha udhaifu, kama ambavyo imetoke kwa CDM....

Ni mbulula tu kama wewe anayeweza kusema CDM si imara tena, haswa baada ya kushuhudia umoja wa wana CDM ktk opereshini inayoendelea kwa sasa !. Hilo halihitaji kusubiri Lissu aongee, kama unafuatilia kinachoendelea katika medani za siasa hapa nchini, unahitaji akiliza kawaida kabisa kutambua kwamba CDM bado ni imara sana !

 
we mwenyewe zaidi ya kuandika kulia kwenda kushoto hamna zaidi unalojua

mkuu si vibaya kumpongeza mtu anapo fanya jambo zuri.

Tuungane kwa pamoja kumpongeza mh lissu.
 

kweli chadema kuna vurugu tajitahidi tujifunze utulivu kama mlionao nyie ccm hasa kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwani uwezi kujenga hoja bila matusi? Umenichekesha sana kusema mtikisiko na uimara ni maneno yenye maana sawa!

Ni kukumbushe tuu mh Tundu Lissu aliongeza kwa kusema hali si shwari na anategemea hitakuwa shwari mbeleni.

Hupo hapo?
Naona mnajaribu kulemba kauli yake hili hiwapendeze lakini mnashindwa.

Kama na yeye mtamfukuza kwa kusema ukweli basi.

Lakini nakusihi tuungane kumpongeza.
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni maoni yake, Chadema ndiyo itakuwa imara zaidi, kwani bati lililopata kutu na kuvuja limeondolewa. Na palipoondolewa bati bovu patazibwa vizuri na maisha yataendelea.
Huyu mleta uzi ni mwongo mkubwa anatia chumvi sana maelezo yake.Maelezo ya Tundu yalikuwa ya kisomi na kwa hiyo hawa wenye ubongo wa mende hawawezi kuelewa


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kweli chadema kuna vurugu tajitahidi tujifunze utulivu kama mlionao nyie ccm hasa kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015

mkuu ni vyema ukachukua nafasi kumpingeza mh Tundu Lissu kwa kusema ukweli ilio mshinda Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:

Zitto na Lowasa ni yupi mwenye wafuasi wengi mpaka Bakwata?
 
misukule mnaweweseka sana,mmekuwa watu wa kudandia vihoja dhaifu tu kama m/kt wenu!!! huyo msaliti alishafukuzwa na ndo ukweli wenyewe! chezea cdm weye!
 
Huyu mleta uzi ni mwongo mkubwa anatia chumvi sana maelezo yake.Maelezo ya Tundu yalikuwa ya kisomi na kwa hiyo hawa wenye ubongo wa mende hawawezi kuelewa


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

MKUU THIBITISHA UONGO WANGU KWA KUSEMA UKWELI ALICHO SEMA LISSU KUHUSU HUU MGOGORO.

AU UNATAKA KUSEMA HAKUZUNGUMZIA CHOCHOTE KUHUSU MGOGORO WA ZITTO NA CHADEMA?

MKUU kibaravumba THIBITISHA UONGO WANGU NA UONESHE NILIPO ONGEZA SO CALLED CHUMVI.
 
Last edited by a moderator:
ndizi nyingi usababisha mtandio wa ubongo
 
Last edited by a moderator:
Mods naomba Muunganishe up date zangu zipande juu mwanzo kuleta mtiririko mzuri

cc

Invinsible
 

Ruttashobolwa nikuambie kitu kuhusu ukweli. Ukweli una tabia moja,haijalishi ni kwa kiasi gani au muda gani utauficha lakini ipo siku ya siku utadhihirika mbele ua jamii. Kama ambavyo ipo siku ukweli wote kuhusu Richmond utakavyodhihirika kwa wananchi. Na hiyo siku naiona haiko mbali.
 
Usiniwekee maneno mdomoni sijasema ni maneno yana maana sawa, nimesema ni maneno yasiyopingana !

Sina sababu ya kuremba maneno ya Lissu, niyarembe ili iweje ? Kwani mimi msaidizi wake ? Ninaweza kuona situation ya kisiasa Tz na kufikia conclusion zangu mwenyewe na ambazo naweza kuzisimamia regardless Lissu, wewe, Mbowe, Slaa au mtu mwingine yeyote atasemaje.......Wewe na maCCM wenzako mnachotaka kusikia ni kwamba CDM kinakufa, kipo kwenye mgogoro etc na ndio maana ukisikia kauli yeyote ya viongozi wa CDM inayoashiria utaing'ang'ania kwa nguvu zote sababu ndicho unachotaka kusikia ! Lissu angesema CDM kiko imara, ungekubaliana naye ? Ofcourse not ! Why ? Kwa sababu you don't want to believe that !

Kwangu it is very obvious kwamba CCM wana hali mbaya kupita CDM......Wakati harakati za kumfukuza msaliti Zitto zilipokuwa at its peak, matamko ya kupingana kutoka kwa wanaCDM hayakuwa mengi kama yalivyo sasa hivi kwa CCM....na hicho ni kitu kimoja tu....nikienda kwa upande wa nani anapata wanachama wapya wengi, nani analoose wanachama wengi kila siku na mambo mengine mengi yanayoashiria kukua au kudhoofika kwa chama, CCM ndio hamtaamka kabisa !






 
misukule mnaweweseka sana,mmekuwa watu wa kudandia vihoja dhaifu tu kama m/kt wenu!!! Huyo msaliti alishafukuzwa na ndo ukweli wenyewe! Chezea cdm weye!

mkuu si kosa kumpongeza mtu anapo fanya jambo la busara.

Hayo ni maneno yake si ya kwangu, tuungane kumpongeza na kama unaona amekosea basi awajibishwe kwa kusema hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…