Afadhali wewe umeliona hilo lakini kuna jamaa zangu wengine humu jamvini wanajifanya wao kila wakati wako siriazi!Japo hiyo picha si ya Mh. Samwel Sitta, ila huo ufananisho na swali ulilo uliza limenichekesha.......kuna wakati watu kama ninyi mnahitajika sana Jukwaani hasa weekend kama ya leo. Asante sana