sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 133
Leo muheshimiwa rajabu mbunge kwa tiketi ya cuf.. Amesema kuwa kuna bajeti imeandaliwa na prof..LIPUMBA... KWA mwaka wa ffha 2012/13.. Kutokana na bajeti ya ccm kupingwa vikali NA VYAMA PINZAN NA BAADH YA WANA CCM WAZALENDO kukosolewa mno na bajeti ya upinzani.. Nayo inapingwa na ccm.. Kwa hiyo amependekeza.. Itumike bajeti ya mtaalam mahiri wa uchumi PROF. LIPUMBA..ILOYO ANDALIWA HIV KARIBUNI YA MWAKA WA FEDHA 2012/13..! NI JAMBO LA MAANA MI NAKUBALIANA NAE KWA KUWA MHESHIMIWA LIPUMBA ANAHESHIMIKA DUNIANI KOTE.. KWA H!YO ANAWEZA AKAWA NA JAMBO JIPYA NA MASAHIHISHO YA TULIPOKOSEA NA KUTUREKEBISHA TUKAFIKA TUNAPOTAKA KUFIKA KWA MAENDELEO YA TAIFA ZIMA! MY TAKE TU MPE NAFAS LIPUMBA ATUSAIDIE NI MUDA MUAFAKA.. MWANA JAMIFORUMS NIN MTAZAMO WAKO KATIKA HILI TUMPE LIPUMBA ATUSAIDIE AU TUENDELEE KUZUBAA?