Mhe. Rage amebeba jambia au bastola au nini?!

Mhe. Rage amebeba jambia au bastola au nini?!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Hivi upande wa kulia wa Mbunge Aden Rage sio kabeba bastola kweli?! Au ni matatizo ya kibovu cha mkojo?! Kama ni bastola ni kwa ajili ya kujilinda dhidi ya nani?!

pac-march7-2015.jpg
 
Hawa ndo wanatangaza Tanzania ina amani lakini full kujihami, usingizi wanapata kwa taabu.
 
Huyu mazingira ya kukulia na kuishi somalia ndio yamemwadhiri.

Sio huyo tu arusha wanyarwanda wengi wanaofanya kazi mahakama ya ICTR wanatembea na bastola kiunoni.
 
Si kosa lake, ni kwa sababu ya asili yake alikotoka watu ni full kujihami muda wote..
 
Back
Top Bottom