Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!

mheshimiwa ameenda ruvuma kutembelea ruvuma na kuwaahamasisha wakulima ..kutumia vizuri matrekta aliyowapa.. Katika utekelezaji wa sera ya kilimo kwanza na kukabiliana na mifumuko ya bei na kupanda kwa gharama za vyakula.. Ambapo atatembelea na ghala ya hifadh ya chakula songea
 
Back
Top Bottom