Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,315
- 7,730
So you are suggesting that budget ya chakula mwezi wa ramadhani ni mara mbili ya kawaida. Sasa wanafunga au wanajipiga wenyewe changa la macho?
Trust me mkuu, nimeshakaa na waislamu wengi sana, wengi wao hawaijui dini vizuri ila wamekaririshwa.
Kwa kuprove hii theory, hebu kama umekaa na muislamu yeyote hapo muulize, kwanini anafunga?
Maana haina maana eti unataka kufunga, then unapakia shehena ya kutosha wewe kuishi bila matatizo for your next 12 hours, what for then unafunga?