Huyu alikuwa mpiga debe wa Shamsha bwana 2005. Hadi sasa bado anaweweseka. Issue ya Dr Fatuma na ****** iko too personal,haiwasaidii lolote wana Kongwa,au anataka kutuambia Job angeoa mgogo mwenzake angebadilika ?!! Kama wagogo haohao waupinzani walimwacha Baba Nyemo apite bila kupingwa 2010 wanalalamika nini leo ?!! Eti ****** alihonga tukutuku,elezea basi na zile hongo za Shamsa mlizokula halafu dili ikawa dirisha(kila mwanakongwa anajua wazi Shamsa alimwaga pesa nyingi kushinda Ba Nyemo,ila alipungukiwa mbinu za ushindi). Hellen Keller / KTP kazi yao ilikuwa ni kutoa kinga dhidi ya trachoma,tiba ilikuwa kitu cha ziada tu ambacho hata KDH (Kongwa District Hospital) wanaweza. Kinga ya trachoma hutolewa kwa 5 yrs tu,wewe ulitaka KTP waendelee kutulisha zithromax hadi lini ?!!! Ongea na wagogo wenzako wanawe uso bhana wapunguze idadi ya vipofu. Sio viZuri kuwamaind mademu wetu wa kipare, eti ndo wanampoteza Job !!!.
Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile.
Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo:
1. Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula.
Angalia juzi magorofa ya mabillioni ya mbezi beach yalivyokuwa yanaporomoka kama yeye Ngugai angeweza na marushwa yao wanayopewaga.
2. Kituko cha pili ndiyo babu kubwa, alivyokuwa mheshimiwa alianza uhawala Na aliyekuwa DMO wa Kongwa wakati huo Dr Fatuma ambaye ni mpare. Hapa Kongwa ndipo panapoongoza kwa ugonjwa wa Tracoma (vikope) pana NGO kadhaa zinazopambana na ugonjwa huo mfano KTP, Macdonard Tracoma Initiative, Hellen Keller International (HKI) NA CEHEPHO .
Sasa ilifika wakati wa kurenew mikataba Yule Doctor Fatuma aidha kwa kuelekezwa na Mh Ndugai akaomba rushwa ili awapigie debe waongezewe mkataba, basi wale wazungu wakamtolea inje wakaondoka. Sasa wanainchi wa Kongwa wameendelea kuwa vipofu wafadhili wamekimbia hawala yake Ndugai amewakorofisha.
Kuona hivyo baraza la madiwani likamuadhimia huyu Daktari akahamishwa fasta fasta.
Nungai akili zake zinamtosha yeye mwenyewe.
Ebaeban ebu weka sawa hapa Shamsha Mwangunga aligombea ubunge Kongwa?Kumbukumbu zangu zinaonyesha aligombea Ubungo....am stand to be corrected.
Hapa na Shaka yeyote kuwa Job Yustinho Ndugai, toka Kijiji Cha Ibwaga, Kitongoji Cha Mission[/B....
Ahaaaaahaaaah!!! Kitongoji cha Chibwe,mtaa wa Mission kwa watata. Wapinzani wake huwa wako ndani ya ccm akipita kule tu baaaasi. M4C hapa bado gonjwagonjwa labda ijipange 2015. Na nyie wakongwa hasa hapo Ibwaga bado mko dhaifu,akirudi Ibwaga mnamchekeachekea tu,mwambieni ukweli bana hata kama mnamtegemea kwa misaada.