Mhe. Ngugai ndiye kituko!! Someni hapa!

Ndugai kachemka hata akijibaraguza vipi. Aliyoyatamka yeye ndio yale yale aliyosema Mh.Mnyika dhidi ya Kikwete
 
nilijuwa kwenye 'chupi' itaweka ***** kumbe nasing kwa kweli. ngoja na mimi niseme.....chupi
 
Ametekeleza mke na familia tabata segerea baada ya kupata ubunge!
 
Kituko zaidi ni kuongoza bunge gizani,baadae kajistukia na kuahirisha kabla ya mda bila kutaja kanuni yoyote inayotumika kuahirisha bunge bila kujiridhisha kuwa hali iliyopo hairekebishiki!mzani ni kitu kizuri sana tumepima kati ya mdee na Ndugai
 
Unahangaika na hizi pumba za huyu jamaa. huyu ni hovyo achana nae time will tell
 
ebaeban. Haya bwana ulishambulia post yangu kuwa nimekurupuka kuandika haraka imhusuyo ndugai. Sasa wewe hilo neno NGUGAI na KITIKO ndio nini kwenye heading yako?
 
Last edited by a moderator:
Moderator thread hii ina matusi ya nguoni kudhalilisha akina mama wa kipare na wapare! mbaya zaidi n halima mdee ni mpare,nshauri thread hii iondolewe kwa heshima ya JF na Ban ifuate!
 
Jf raha tupu nilitoka na mastres yangu ya kusaka pesa na ful hasira nafungua hii thread nabaki kucheka peke yangu tu hadi wyf anashangaa
 
Duuu kumradhi..... kwakeli hili neno chupi ya mpare.... nakua sielewi kabisa. unataka kusema sie wagogo 2kikutana na chupi ya mpare kwisha hkhabari yake...?
 
Jf raha tupu nilitoka na mastres yangu ya kusaka pesa na ful hasira nafungua hii thread nabaki kucheka peke yangu tu hadi wyf anashangaa

Shemeji hapo angekuwa mpare, angegundua unacheka nini ungekiona cha mtema kuni.
 
Kumbe Ndugai si jina lake bali ni Ngugai, hiki nacho ni KITUKO.
 
Moderator thread hii ina matusi ya nguoni kudhalilisha akina mama wa kipare na wapare! mbaya zaidi n halima mdee ni mpare,nshauri thread hii iondolewe kwa heshima ya JF na Ban ifuate!

Matusi yanasababishwa na viongozi wasio fair.

UCCM umewajaa hadi nguoni.

Hivi kuwa CCM kunamfanya mtu kukosa hekima ?
 
Dalili ya mtu niongozi kurusha miguu na mikono na dalili ya CCM ni viongozi wake kukosa hekima na staha
 
Moderator hii thread imeachwa kwa maslahi ya kutukanwa Ndugai au kudhalilishwa akina mama wa kipare? mbona huiondoi mod?
 
Moderator thread hii ina matusi ya nguoni kudhalilisha akina mama wa kipare na wapare! mbaya zaidi n halima mdee ni mpare,nshauri thread hii iondolewe kwa heshima ya JF na Ban ifuate!

Asee hata mimi naona hii thread ni "KITIKO" kabisa haifai
 
Mkuu wengine tuko kijijini,hatuna access ya kouna bunge live,hebu tudadavulio kilichojiri mpaango mzima!
 
POLE MKUU NAONA UNAHASIRA SANA ,ila na nyie wakongwa mnavituko kuchagu mbunge mwenye vituko kama Ndugai na wenye vituko zaidi ni hili bunge legelege kuchagua naibu spika mwenye vituko vya hovyo km Ndugai.
ila Shamsa mwangunga si aligombea Ubungo huyo akashinda ,akapita yule hawa?
na hapo kwenye chupi za kipare patakuwa na ishu si bure ,hata mdogo wangu mimi amekolea kwa mpare hasikii wala haambiwi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…