Mkuu,Maswali ya kujiuliza hivi.....
Hivi inakuaje kiongozi kama Nape kuongea na vyombo vya habari huku akionyesha chain .
Hivi Chama hakina maadili yanayohusiana na mavazi.
Hivi alisahau au alifanya makusudi.
Hivi kiongozi mkubwa kama huyo anaonyesha mfano gani.
Hivi tukisema ameanza kulewa madaraka tutakuwa tumekosea.
Hivi kama ameanza na chain za dhahabu shingoni baadaye je.
Hivi akishauriwa kuwa kwa wakati huu chama kinajitahidi kurudisha imani kwa wananchi atasikia.
Na mwisho hivi ukiwa msemaje wa chama unasema kutoka kichwani mwako tu au unayo sema ni yale ambayo chama kimekutuma
Maswali ya kujiuliza hivi.....

Ndugu,
Uvaaji wa Mtu hauna uhusiano wowote na Uadilifu wake.
Sisi tunamtaka mtu Mwadilifu na si mvaa ovyo. Kwa Umri wa Nape, ningemshangaa sana na ningemwona ni Mnafiki wa kutupwa kama angekuwa anavaa makoti eti tu yeye ni kiongozi!
Chenge anavaa Chain gani? Kutokuvaa Chain kwa Rostam je kunakufanya wewe uamini kwamba ni Mwadilifu?
Lete hoja zenye kujadilika na si uvaaji au utembeaji wa mtu. Kwa nchi masikini kama Tanzania tuna mambo mengi ya msingi ya kujadili na si kuvaa kwa mtu au kutembea kwa mtu. Vitu vingine binafsi ambavyo havina hathari ya moja kwa moja na kupanda kwa gharama zamaisha naona tuache kuvijadili kwanza, vitatupotezea muda tu. Hapa tujadili kuhusu hizo siku 90 na zile barua alizotuahidi Nape kwa mbwembwe kwamba watawapa Mapacha Watatu zimefikia wapi?
Mimi nahisi hata hao Mapacha Watatu kwa Nape ni watu wakufikirika tu wala hawajui na anaongea tu kama kasuku kwa utamu wa kupewa hayo madaraka aliyopewa.
Maadam yupo humu JF, kama si kweli hawajui na anaongea tu kama kasuku basi aandike akiwataja kwa Majina au hata Initials za majina yao.
Hivi vaisi vesa ya 'Ukipenda, kipofu unaita chongo' ni nini?