Mhe Mtemvu Vs Prof Kapuya


Mkuu, umesema ukweli kabisa. Unajua mafisadi wa nchi hii wanafahamu kwamba wanaongoza MAITI ndio maana wanafanya ufisadi wote huu bila woga wowote.
 
Hebu angalieni hesabu hii kwa wale mliokuwa hamjui. Kapuya ana hisa UDA. Na rafiki MKUBWA wa Kikwete hapa nchini ni Kapuya, narudia ni Kapuya! Ndiyo sababu kuna harufu ya Ridhiwani katika UDA. Hao wengine ni madalali tu wa kubeba mikoba!

Du! Nchi hii imeoza kuliko tunavyoweza kudhani.
 
Kapuya huyu huyu aliyembaka mtoto wa shule na kumuambukiza ukimwi halafu kesi ikazimwa na hawa maruhuni!!! Sasa anataka kufa huku akiwa amefisadi mali ya wadanganyika; wabunge wa DSM komaeni na hawa mafisadi mpaka kieleweke!!!

huyu mpuuzi ana laana sana. anawambukiza watu UKIMWI halafu anachukua mali zao na kuzifisidi! huyu mzee ni wa kunyongwa mpaka kufa.
 
Kulalamika kwenye jf hakusaidii. Watz amkeni. Simameni kazi na shughuli zote kwa siku kadhaa serikali itajua kuwa ss ndo tuliwaweka madarakani. Pili 2015 idadi ya wapinzani wa ukweli bungeni iwe angalau asilimia 50+. Tatu vijana jitokezeni sasa hivi kugombea serikali za mitaa na ubunge ili muweze kuisimamia serikali ipasavyo.
 
Umesema la maana sana... huu si wakati wa kulalamika bali ni wakati wa kuonyesha tumechoshwa kwa vitendo... I wish wengi wetu tungekuwa na mtazamo wako Mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…