Kapuya huyu huyu wa tortoise
wote wale wale DINI moja so wataelewana tu msituzingue na sanaa zenu kwenye kamera
wote wale wale DINI moja so wataelewana tu msituzingue na sanaa zenu kwenye kamera
Hebu angalieni hesabu hii kwa wale mliokuwa hamjui. Kapuya ana hisa UDA. Na rafiki MKUBWA wa Kikwete hapa nchini ni Kapuya, narudia ni Kapuya! Ndiyo sababu kuna harufu ya Ridhiwani katika UDA. Hao wengine ni madalali tu wa kubeba mikoba!
Sarakasi za magamba zimesha tuchosha na kwa sasa tunasemaa.......,
Arusha wameshakuwa mdebedo siku hizi,... GENERAL TYRE imeuzwa kama UDA, nao wako kimya kama wenzao wa dar.Hisa 51% zilikuwa za jiji maana yake mmiliki mkuu wa UDA ni wakazi wa jiji la Dar. Lakini unafanyika utapeli tena toka kwa wakazi wa nje ya Dar wao wamenyamaza tuu, watu kama Mnyika wakipiga kelele wao wako kimya tuu wanaona sawa tuu mradi wao wanauhakika wa kupata kahawa vijiweni.
Hebu hilo litokee Arusha ndio utajua nini maana ya mali ya wananchi. Dar amkeni mnaliwa hivyo
kama UDA ni mradi wa wananchi wa DAR basi nashauri ziuzwe hisa za UDA kwa wananchi waweze kufaidika nayo
Mkuu hayo yalitokea wakati uleee !! Sasa hivi hata ushuru tuu wa masoko au mabango ya barabarani hakuna kufisadi. Wakurugenzi wa jiji kila anayepelekwa lazima apoe tuu na kufata madiwani wanahitaji nini kwa watu wao.Arusha wameshakuwa mdebedo siku hizi,... GENERAL TYRE imeuzwa kama UDA, nao wako kimya kama wenzao wa dar.
General tyre.. kama imeuzwa wakati wa honey moon ya Lema.. anyway, sikumbuki vizuriMkuu hayo yalitokea wakati uleee !! Sasa hivi hata ushuru tuu wa masoko au mabango ya barabarani hakuna kufisadi. Wakurugenzi wa jiji kila anayepelekwa lazima apoe tuu na kufata madiwani wanahitaji nini kwa watu wao.
Umeona watanavyopiga hela kijanjaDu wamenunua kwa millioni 200 wameuza billioni 12. Mungu akupe nini?
Kikwete unavyomwelewa sasa hivi ndo hivyo hivyo alivyokuwa anajulikana kabla ya 2010!! Hata akiongezewa hawamu nyingine mbili bado atashinda.yaaani UDA inaenda hivi hivi mikononi mwa wenye nacho,jamani hii nchi mbona majanga hayaishi hasa hikimkipindi cha kikwete? mimi nasema kikwete angekuwa anagombea tena haki ya nani asngepata hata kura asilimia kumi,yaani the country is looted yeye kakazana kukenua meno tu..haweza hata kusimama na ku make maamuzi magumu.!!!!!!?