kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
Mhe Utakumbuka ulikuja hai kuomba kura na kuahidi utawatumikia watu Wa hai!,sasa imekuwa kinyume tunakuona kwenye maandamano mikoa mingine jimbo limebaki kiwa.
Tafadhali pamoja na kazi unayofanya kitaifa kumbuka wajibu wako.
Mwisho ushauri, uchaguzi ujao usigombee endelea na harakati za kichama ubunge waachie wanaweza kukaa bungeni.
Kama we si mbunge wangu hauna haja ya kujibu