Nina imani na Mh Mbowe
sixgates unajipya ktk hli?, nakusibiri
Safi sana makamandaSasa hivi kamati zinaundwa na zoezi linaendeshwa kwa ushirikishwaji wa hali ya juu sana. Bila ubaguzi wa aina yeyote na ametoa wito wa yeyote mwenye nia njema ya kujenga chama awe tayari kuimarisha chama. Zoezi hili ni mwanzo tu na tuna imani tutapata team nzuri na imara. It is a very participatory process. It is a matter of time
Hata sijaona picha, nlichosikia amesema alilipa nauli ya Kabouru kutoka marekani ili aje awe mwanachama wa chadema. Hii ni akili au matope. Zaid ya watanzania mil 40 unalipia mtu nauli aje kuwa mwanachama?
nmesikia akisema Bob makane na Mtei walikuwa wanagombana wote wakitaka wagombee nafasi ya urais.. Nashangaa, hivi mzee mtei anadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza kwaya, ama hii succos?

tunakushukuru sana .Nina imani na Mh Mbowe
Eti six gates na wenzake walimpiga Mbowe marufuku kwenda Mwanza........eti akienda atakutana nao chini ya amiri jeshi wao Brigedia Nyakarungu ....tehe tehe.....