Mhe. Mbowe azidi kuimarisha msingi wa Chadema kanda ya Ziwa

Indume

Member
Apr 11, 2011
81
36
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Mbowe amezidi kuimarisha msingi imara wa Chadema Kanda ya Ziwa. Kuna mambo ya msingi namna ya kuwashirikisha wadau mbalimbali ambao ni committed and competent ili kuendelea kuhakikisha kuwa chama kinakuwa imara zaidi.
Mkakati wa kuhakikisha Kanda zinakuwa imara ni kuwa na watu wawajibukaji zaidi ambao wataweza kusimamia sera na mikakati ya chama. Leo kuna watu wengi sana hapa Goldcrest Hotel Mwanza wenye professionals mbalimbali waliotoa muda wao kuja kukijenga zaidi Chama. Ni dhahiri Chama ni imara sana.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    98.2 KB · Views: 1,873
Nina imani na Mh Mbowe

ni imani sana na MBOWE pia,kama mtanzania mzalendo anayetumia hata sehemu ya mali zake kuimalisha chama na kumkomboa mtanzania maskini,ahsante Mungu kwa kutupa Mbowe kama mwenyekiti asiyehongeka huna cha kumhonga mbowe,ahsante Mungu vile vile kwa kutupa Katibu mkuu wa chama mwenye hofu ya Mungu,yeye sio tajili lakini ni mtu anayetembea kwenye maneno yake na misimamo yake,mwenye hofu ya mungu kwelikweli,ahsante Mungu vilevile nkwa kutupa kamati kuu yenye hofu ya Mungu inayotoa maamuzi kwa weledi Mkuu,Ahsante Mungu kwa kutupa watu makini kama Mabele Marando,Tundu Lisu,Myika,Wenje,Silinde Msigwa,Chiku Abwao,Suzan na SABRINA SUNGULA,hawa ni wachache kwa kutaja!Mungu WA KweliENDELEA kuwa nasi mpaka kusudio lako la kweli litimie ambalo si jingine ila ni kumkomboa Mtanzania hasa yule maskini.AMEN.
 
Sasa hivi kamati zinaundwa na zoezi linaendeshwa kwa ushirikishwaji wa hali ya juu sana. Bila ubaguzi wa aina yeyote na ametoa wito wa yeyote mwenye nia njema ya kujenga chama awe tayari kuimarisha chama. Zoezi hili ni mwanzo tu na tuna imani tutapata team nzuri na imara. It is a very participatory process. It is a matter of time
 
sixgates unajipya ktk hli?, nakusibiri

Hata sijaona picha, nlichosikia amesema alilipa nauli ya Kabouru kutoka marekani ili aje awe mwanachama wa chadema. Hii ni akili au matope. Zaid ya watanzania mil 40 unalipia mtu nauli aje kuwa mwanachama?

nmesikia akisema Bob makane na Mtei walikuwa wanagombana wote wakitaka wagombee nafasi ya urais.. Nashangaa, hivi mzee mtei anadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza kwaya, ama hii succos?
 
Sasa hivi kamati zinaundwa na zoezi linaendeshwa kwa ushirikishwaji wa hali ya juu sana. Bila ubaguzi wa aina yeyote na ametoa wito wa yeyote mwenye nia njema ya kujenga chama awe tayari kuimarisha chama. Zoezi hili ni mwanzo tu na tuna imani tutapata team nzuri na imara. It is a very participatory process. It is a matter of time
Safi sana makamanda
 
Hata sijaona picha, nlichosikia amesema alilipa nauli ya Kabouru kutoka marekani ili aje awe mwanachama wa chadema. Hii ni akili au matope. Zaid ya watanzania mil 40 unalipia mtu nauli aje kuwa mwanachama?

nmesikia akisema Bob makane na Mtei walikuwa wanagombana wote wakitaka wagombee nafasi ya urais.. Nashangaa, hivi mzee mtei anadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza kwaya, ama hii succos?

Inlalilahi...
 
Eti six gates na wenzake walimpiga Mbowe marufuku kwenda Mwanza........eti akienda atakutana nao chini ya amiri jeshi wao Brigedia Nyakarungu ....tehe tehe.....
 
Duh!ama kweli sixgate aliyekuroga atakuwa alifariki, bado kitambo kidogo utakuwa Mirembe Hosp.
 
Eti six gates na wenzake walimpiga Mbowe marufuku kwenda Mwanza........eti akienda atakutana nao chini ya amiri jeshi wao Brigedia Nyakarungu ....tehe tehe.....

Wajaribu waone! awamu hii tutaua mtu! nitakuwepo hiyo kesho kwa ajili ya kushirikiana na makamanda wenzangu kuweka ulinzi.MUNGU IBARIKI SANA CDM
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom