Mhe Mbowe akifungwa jela, ni faida kwa CCM au Jamhuri?

Uzi ungekua na mashiko kama ungesema haya ni maoni yangu!

Tuanzie hapa sasa;

"Haya sio maoni yangu"

Mahakama ndio chombo cha mwisho huku Duniani kinachoweza kusema UNA HATIA au HUNA HATIA na haisemi tu bali kwa kujiridhisha bila shaka kwamba ulitenda au hukutenda kosa.

Hivyo kijana Kaa kwa kujishikilia. Rais Samia ametuonyesha kwamba yeye Hana upande wowote anaoegemea bali anaziachia mamlaka zitende majukumu yake.

REJEA CHACHE HAPA;
1. Sabaya hakutegemea kama angetoswa.

2. Tangia 2012-13 Masheikh wa Uamsho walikua na kesi ya Ugaidi ila ndani ya cku 100 za bi mkubwa waliachiwa huru.

3. Wale miungu watu wamepukutika mmoja baada ya mwingine.

Ahsante
hujaeleweka ktk comment je ndio ingekuwa thread hii?
 
Mnajua nyie Pro Chadema mnachekesha sana. Yaani mambo ya kisheria mnayageuza kuwa ya kisiasa. Kwani Mtu kushindwa kutafsiri lugha kwa ufasaha ina mantiki gani kwenye kesi ya msingi? Halafu Mahakama haihukumu kwa kuangalia ushahidi unaotolea na mtu mmoja bali uzito wa ushahidi uliotolewa kwenye kesi husika kwa kulinganisha na utetezi.

Ukifuatilia kwa umakini, mawakili wa upande wa utetezi wanauliza maswali mengi ya kipumbavu yasiyo ya msingi kwa mashahidi wanaoletwa na jamhuri, kitu ambacho kitakuja kuwagharimu mbele ya safari.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom