Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,476
- 2,651
Hamtaelwa gharama ya mlitendalo until it is too late.Nyumbu watampamba sana sasa kabla ya tukio. Akiwa ndani ya karandinga (ambalo limeishaandaliwa), watatafuta pa kutokea hiyo kesho.
Nyumbu watampamba sana sasa kabla ya tukio. Akiwa ndani ya karandinga (ambalo limeishaandaliwa), watatafuta pa kutokea hiyo kesho.
Robert Amsterdam founder of Amsterdam and Patners LLPAnakuja na wakili wake mbobevu kutoka marekani, somebody Asterdam kama sikosei so usiwe na wasi wasi.
Ni amri ya mahakama sio maguHilo la kukamatwa kwake wala sio habari. Toka Magufuli aingie madarakani Lisu amekamatwa mara nyingi, mpaka kufikia kupigwa risasi ili kumuua. Sasa hivi katangaza kutaka kushindana na Magufuli, huku Magufuli akiwa hana uwezo wa kushindana naye kwenye box la kura, hapo unategemea ataacha kutumia madaraka yake kuagiza akamatwe?
Kosa wanasema amekiuka masharti ya dhamanaMkisha mkamata mumfungulie mashitaka yafuatayo:-
1. Kumaliza risasi za mamlaka ya wauaji
2. Kufanya kiburi na kugoma kufa
3. Kwenda kutibiwa nje bila ruhusa ya mkuu
Best comment ever for this weekend, japo ni Kama Dua la kuku.Hata Makaburu hawakujua athari za kumfunga Mandela mpaka yalipotimia.
Similarly, hata Farao hakujua gharama halisi ya kupambana na Musa until it was too late.
Halikadhalika,Wayahudi hakuamini kuwa Yesu hakuwa mwanadamu wa kawaida mpaka giza lilipotanda mchana kweupe baada ya yeye kufa msalabani kabila ya kuja kufufuka siku ya tatu.
Hivyo, kwa kuzingatia historia hii na maandiko haya, basi hata nyingi yawapasa kuyatenda myatendayo.
Wakili Ndio mvunja Sheria? .Anakuja na wakili wake mbobevu kutoka marekani, somebody Asterdam kama sikosei so usiwe na wasi wasi.
Ana kibali Cha kimataifa kufanya kazi popote duniani. Robert AmsterdamWakili Ndio mvunja Sheria? .
Huyo Waliki anaruhusiwa kuingia mahakama za TZ?
Hata babayako ni shoga hapo lumumba.Akamalize kesi zake kwanza. Hatutaki visingizio. Na kwa taarifa yako, nchi hii haiwezi kuongozwa na shoga!
Ngoja tuone huyo wakili mwenye nguvu kuzidi serikali ya JPM atakavyozuia kukamatwa ama kumtoa Mbelgiji kiduku.Anakuja na wakili wake mbobevu kutoka marekani, somebody Asterdam kama sikosei so usiwe na wasi wasi.