Dr Slaa anakwepa kamera kwani kalazimishwa kwenda uwanja wa Taifa, Mbona mwenzie mbowe yuko huru anaonekana. Au ni hofu ya kukamatwa na polisi kwa ile kesi ya Arusha? Dr jitokeze basi tukuone
Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze

Ina maana umemwona mbowe hujawaona ccm na manguo yao ya kijani?
Na je kikwete alivokuwa anajisifu kwa uongozi bora wa ccm pale kwani ni NEC ya ccm?
Na hao waliovaa nguo za kijani waliambiwa leo ni siku ya kuzaliwa chama cha mapinduzi? Fikiri kwanza, usipende kukurupuka.Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze
mkuu lazima ajisifu kwa sbb ndo kilichopo madarakani.
Alitaka avae za kijani kama JK....Wewe ulitakaje kwani?
Tiba