Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, uamuzi wako ni wa busara

Magwanda tu ndio sijapenda kuingia nayo kwenye sherehe za kitaifa je wa CCM nao waingie na kijani? hapo mbowe umeboa wajibika kwanza kwa taifa lako badala ya chama.
Ujumbe kuwa kuna watu wako kwenye mapambano kuurejesha uhuru tuliopata na baadaye kuuzwa na walafi wa CCM.
 
Magwanda tu ndio sijapenda kuingia nayo kwenye sherehe za kitaifa je wa CCM nao waingie na kijani? hapo mbowe umeboa wajibika kwanza kwa taifa lako badala ya chama.

Kweli wameku2ma vizuri, si umeshakunja kitita kutoka kwenye chanchi ya rada?
Endelea kujaza thread hyo
 
nakuona mheshimiwa sana Mbowe uko jukwaani ukifuatilia sherehe hizi za uhuru..lakini nakuona kama una mawazo tele.. Vipi mkuu wenzio wanafurahia we unawaza? Mikono shavuni... Umekuwa jumong??
 
Mbona yupo pamoja na Lukuvi wanakenua sana? Anaonekana mtu mwenye furaha sana. Anajutia kwanini miaka yote alisusia maadhimisho ya siku uhuru
 
Mbona yupo pamoja na Lukuvi wanakenua sana? Anaonekana mtu mwenye furaha sana. Anajutia kwanini miaka yote alisusia maadhimisho ya siku uhuru
Hawa ni n'tu na n'tu au nani na nani??!!
12.jpg
 
Kwa hiyo unataka kuniambia Mbowe na Slaa wapo uwanjani kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika?
 
Pipi jojo ni lini cdm walitoa tamko la kitaifa kwamba hawatashiriki miaka 50 ya uhuru?, pia ni lini cdm walitangaza maandamano nchi nzima halafu hawakuandamana au wewe umekuja juzi nchi hii?, Kumbuka jambo moja kwamba cdm hakiongozwi na hoja za jf, fb au twitter ila ni maamuzi ya pamoja ya uongozi..

Hoja zako nyingi zinaonyesha werwe ni mchimvi na umepitwa na wakati, kama serikali inakiri kukosa usingizi kwaajili ya cdm halafu wewe na vi hoja vizivyo na nguvu...
 
Nadhani anashiriki kusherehekea Miaka Hamsini yake na ya Age mate wake Marehemu Tanganyika...
 
natamani kumuona kikwete atakapo kuwa mzee yaani babu wajukuu wake watafurahi sana maanake hatulii kwenye kiti sijui alikuwa anongea nini muda wote anageuka nyuma kuongea na kinaa mbowe na lukuvi yaani amesahau kuuwa yeye ni prezida na ana wageni toka nchi mbali mbali.
wageni wataushangaa kweli yaani siku ya uhuru unaonesha namna ya kukabiliana na wahalifu badala ya kupitisha au kuonesha mafanikio japo pikipiki tulioitengeneza wenyewe
 
Dr Slaa anakwepa kamera kwani kalazimishwa kwenda uwanja wa Taifa, Mbona mwenzie mbowe yuko huru anaonekana. Au ni hofu ya kukamatwa na polisi kwa ile kesi ya Arusha? Dr jitokeze basi tukuone

dr hana cheo chochote kiserikali zaidi ya huo ukatibu wa cdm, ,mbowe yeye ni mwenyekiti kitaifa na kiongoz wa upinza bungeni.
 
Hivi miwani ya mbowe kwa nini ina giza sana utafikiri ni wale maafisa wa ulinzi wa marais wa marekani

Mkuu hiyo ni miwani ya kisasa inayobadilika rangi kutokana na ukali wa mwanga. Kukiwa na mwanga mkali inakuwa myeusi kukiwa na giza au mwanga kidogo inabadilika kuwa myeupe.

Tiba
 
Back
Top Bottom