Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, uamuzi wako ni wa busara

Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze
 
Bangi za mchana mchana tena siku ya uhuru wa Tanganyika zitakuua!
Dr Slaa anakwepa kamera kwani kalazimishwa kwenda uwanja wa Taifa, Mbona mwenzie mbowe yuko huru anaonekana. Au ni hofu ya kukamatwa na polisi kwa ile kesi ya Arusha? Dr jitokeze basi tukuone
 
Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze

Wewe ulitakaje kwani?

Tiba
 
Dipre` dip're niente" ni msemo wa wakikaranjini unaomaanisha sikitiko la wanyonge.tumeibiwa ni miaka 50 sasa yapata.
 
Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze

Ina maana umemwona mbowe hujawaona ccm na manguo yao ya kijani?
Na je kikwete alivokuwa anajisifu kwa uongozi bora wa ccm pale kwani ni NEC ya ccm?
 
lazima unaumwa mfadhaiko
 
Ina maana umemwona mbowe hujawaona ccm na manguo yao ya kijani?
Na je kikwete alivokuwa anajisifu kwa uongozi bora wa ccm pale kwani ni NEC ya ccm?

mkuu lazima ajisifu kwa sbb ndo kilichopo madarakani.
 
Tumethubutu tumeshindwa na hatusongi mbele.Hii ndo kauli mbiu ya wenzetu wa green card, a.k.a chama cha mafisadi.
 
Kwan mavazi yana ubaya gan yale mkuu?binafc nimechukulia level tu.
 
Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze
Na hao waliovaa nguo za kijani waliambiwa leo ni siku ya kuzaliwa chama cha mapinduzi? Fikiri kwanza, usipende kukurupuka.
 
Huu ndo utaahira wa wabongo,heading wala haindi na contents na isitoshe ni tukio gani la serikali hii linaweza kufanyika bila jezi za CCM?Na leo hukuona miguo ya CCM ilivyokuwa imejazana uwanjani?mleta thread usitake kutuonyesha u-hopeless wako
 
Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze

Shule ya kata uliyosoma haikukupa nafasi ya kujua nini maana ya IDENTITY. Na ulivyo mpuuzi, umepost huu utumbo kwa kufikiri unaongea jambo la maana kumbe wanaume watakushtukia tu kuwa umelelewa jikoni: wale waliovaa manguo ya kijani hawatii aibu?
 
Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze

Wakati mweingine mtu anataka ajulikana, pamoja na kuwepo yeye ni nani? CCm, CDM, rais , raia,, ect
 
Akili yako ndogo sana ukilinganisha na kijana wa chekechea ya kata, nani ambaye hakutia aibu pale, wote walitia aibu kuanzia kiranja hadi mwalimu mkuu, tunasheherekea miaka hiyo isyoeleweka ni ya nchi gani, ni Tanzania bara au tanganyika na ndiyo maana hakuna vazi la Taifa,

Nilitegemea ungekuja na kitu constructive matokeo yake pombe ulizokunywa kwenye pati yenu beach ya kigamboni jana ndo zimekuongoza kusema upumbavu uliogubikwa na aibu yako :alien:
 
mbowe alikuwa anawaza Mungu alimuwezesha leo kuadhimisha miaka yake 50. si kila mtu atafikisha miaka 50. AKAWA ANASALI KIMOYO MOYO.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom