Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,308
- 4,294
Ulitegemea nini? Kwa akili zako angeweza kuchaguliwa na sisi pia or?Nilimpigia kura Lowasa na sijutii kura yangu.
Ulitegemea nini? Kwa akili zako angeweza kuchaguliwa na sisi pia or?Nilimpigia kura Lowasa na sijutii kura yangu.
Wee unataka ngumiSuluhu hapa ni kuanzishwa kwa chama kimoja kikuu cha upinzani kitaxhojulikana kama ukawa
Huko ulaya ndio kuna muajiri wa mwenyekiti wenu sio?mwenyekiti yupo kuwashitaki ulaya
Mbona unawewesekaSasa Lowasa na CUF wapi na wapi! ndio maana Lipumba kasema sefu ameuza chama kwa bei poa! Kwanza yeye ni nani ndani ya chadema?
What I expected none of your business. If you don't like him, you may jump to nearest hell.Ulitegemea nini? Kwa akili zako angeweza kuchaguliwa na sisi pia or?