Mhe. Edward Lowassa apata mapokezi mazito Nzega

Kama haya ndiyo yanayoitwa MAPOKEZI MAZITO, basi Chadema imekwisha!!! Kwamba kunakukata tamaa kiasi cha kutoamini idadi hii ya watu kuweza kujitokeza. Hii ndiyo inaitwa 'Masikini akipata makalio... "
 
Hivi Angeenda Mungu Mtu huyu Mkulu angepokelewa hivi???

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siyo kwa ubabaishaji huu wa Wapinzani wa TZ! Mgombea mwenyewe mroho wa madaraka anayetumia nguvu kubwa kuwa Rais!! 2020 ataisoma namba!! Hata nusu ya kura za 2015 hapati!!
MH lubuva anamaliza muda... Akija mpya amevaa shati la kijani ila ndani kavaa gwanda la kaki mtaisoma namba
 

..Tundu Lissu.

..akipewa support na washauri wazuri anaweza.

.
 
Kura yangu sipo tayar kuipoteza kwa mroho wa madaraka
 
Mh. Lema alisema EL sio waziri mkuu mstaafu, bali ni wazi mkuu aliye jiuzulu kwa kashfa ya ufisadi. Nadhani kwenye hili Lema yuko sahihi, rekebisha.
 
Itafika kipindi hataa bao la mkono halitawezekana,sasa ni muda wa vyama vikongwe kuondoka madarakani.nyakati ndio huamua na si watu
Kwa Upinzani gani na kwa Wagombea mlionao wa kuitoa CCM. Makapi yanayoachwa na CCM?? Mtasubiri sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…