Mhe. Bashe tengua kauli...

Kauli kama hiyo ya Bashe hutolewa na watu waliofeli.

Hawajui hata wanachokisema. Hawajui hata waalimu ni akina nani. Yaani mwalimu anayef
 
kutukana kote huko nikwasababu ummejua kusoma na kuandika mlikofundishwa na huyo mwalimu aliyefeli
 
Wengi waliopata div 4 wanaenda ualimu baada ya kukataliwa vyuo vyote mpaka vya St Joseph. Nursing kunawashinda. Wala asifute hiyo kauli. Kauli haikumaanisha walimu wote Ila wale failures.
 
unaishi nchi gani mkuu? UDSM wote wanaochukua ualimu ni division 1 na 2 (wachache sana)
 
Iyo kauli ipo sahii kabisa na hkuna hja ya kuitengua. Walimu wa TZ ni wale waliopata grades za mwisho mwisho. Hili swala halina ubish kabiza. Walimu wa bongo ni dvn 3 n 4 ambao wanaenda kufundisha wanafunzi et wapate dvn 1.
 
Mshahara mnono tu ndiyo jibu
 
kama ndivyo basi na yeye atakua zao la hicho kichaka
 
Magufuli Mwalimu,Majaliwa Mwalimu.Kwa kutumia conclusion yako Magufuli na Majaliwa ni Division Four maana wangepata 1,2 au 3 wasingeenda Walimu
 
Mnaposema walimu mnaongelea walimu gani?
 
Mimi hapa mkuu
 
Enyi walimu achaneni na Bashe, mpiganie maslahi yenu & mfanye kazi kwa bidii kurudisha heshima yenu ILIYOPOTEA kwenye jamii.

Bashe sio adui yenu.

Adui zenu ni MFUMO & NYIE wenyewe.

Sasa, mtaanza Bashe, Bashe, Bashee....
Maslahi ya walimu yanatosha tu.Watumie muda mwingi walionao kufanya shughuli nyingne za kiuchumi.Kamwe ni ngumu kuja kupata maslahi yanayokutosha kama we ni mwajiriwa.Hata huko bungeni watapiga kelele lkn mambo yatakuwa ni yaleyale nothing will change
 
Tupo wengi, chunguza vizuri kabla hujapotosha umma. Kama una mamlaka yoyote nenda ukachunguze vyeti na performance za walimu wako.
 
jaribu kuchanganua kiundan zaid yule atakae toka form v na kwenda kusomea ualimu hua anafundisha primary school anayetoka form six huwa wakifundisha o level kw hyo unataka kuniambia yule mwenye phd na kuwa mwalimu wa chuo nae alifeli?
HUJANIELEWA, dIV 1 &2 WANAKWENDA FORM FIVE AND FINALLY FORM SIX. KUTOKA FORM SIX DIV 1, 2 &3 ??? WANAKWENDA UNIVERSITY. Cream ya university graduates wanabaki pale kufundisha! (zamani ukipata first class na Upper second unabaki pale kufundisha. Ilikuwa policy na lazima!
 
Tupo wengi, chunguza vizuri kabla hujapotosha umma. Kama una mamlaka yoyote nenda ukachunguze vyeti na performance za walimu wako.
Kuna sababu zimetolewa humu kwa nini mtu wa div. 1, 2 anakwenda ualimu. Soma thred hii utaona sababu . Katika hali ya kawaida huwezi kumaliza form six with div 1 ukaenda ualimu kama huna sababu ya msingi- kupata mkopo, ajira etc. Wapo, lakini wana sababu za msingi sana
 
unaishi nchi gani mkuu? UDSM wote wanaochukua ualimu ni division 1 na 2 (wachache sana)
Unasema kweli "WOTE", hao basi wana sababu ya kupata mikopo, ajira (ualimu bado ajira zipo) Nakuhakikishia kama mikopo itatolewa kwa wote, na upendeleo wa ajira kwa walimu ukakoma, hakuna atakayekwenda ualimu. Ukweli ni huo ualimu ni shida sana kwa kila hali! Hasa serikalini hakufai!
 
Ni siasa hakuna aliyeipenda UPE na walikuwa wanafundisha darasa la kwanza tu! Nina mdogo wangu ni UPE lakini mpaka sasa bado unaona kuna pengo- bahati mbaya hakujiendeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…